Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Nyang'oro nadhani alikosa aandike kitabu gani naye aongeze idadi ya machapisho akaona ni vyepesi kuandika mambo ya kuwadi wake jakaya.
wanaopenda wasome tu upuuzi huu. Mie hata hotuba za Kikwete mwizi wa kura sisikilizi nitasomaje upupu huu?
Wale wanaodhani wana muda wa kupoteza someni. Nina vitabu vingi vimefoleni mbele yangu kusomwa na ni bora sana kuliko hichi cha mwizi mchakachuaji. GeniusBrain soma wewe ili uwe Dull brain.