Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
#Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK
labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala
kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa TZ kama ilivyosemwa hapo awali na nafasi yake itachukuliwa na SHENI
Kama ni kweli basi ndahni ni jambo zuri. Sie wengine ijumaa tuko vibaruani
je habari hizi zina ukweli gani ndani yake
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK

Naona umeamuwa kuwa Membe sasa,#
Amehairisha kwenda Denmark na UK baada yake anakwenda USA (NY) kwa ajiri ya Zimbabwe issues.
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK
labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala
kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa TZ kama ilivyosemwa hapo awali na nafasi yake itachukuliwa na SHENI
Kama ni kweli basi ndahni ni jambo zuri. Sie wengine ijumaa tuko vibaruani
je habari hizi zina ukweli gani ndani yake
Yaani Mzee wa kutembea ni mikasi hafai kupigwa picha nae? Mie naona ndie hasaa anaefaa kwa shughuli kama iyo ya UK... Wacha asafiri na mikasi yake nje ya nchi....Mkuu,
Hili ni confirmed, sasa twende tukamsikilize Shein. Sijui wale waliotoa pesa kwa ahadi kwamba watapiga picha na rais wa nchi itakuwaje?
Kwa zama hizi na nchi ilivyo, na anavyoipeleka, kuna watu wanataka kupiga picha naye????
Hivi kweli vioja, unataka kupiga picha na Fisadi Kikwete hili kujisifia vipi, wakati watanzania wote wanajua kuwa huyu ni mtu mbaya sana kwetu??
Jamani ebu tuache mambo ambayo yamepitwa na wakati haya, baada watu wafikilie watambana vipi ili kuelezea uchafu anaoufanya Tanzania, mnafikilia kupiga picha na Fisadi!!
Ukipiga picha na Kikwete sasa hivi unaweza kuwa unajiharibia your political future kama una mpango wa kuwa mwana siasa. Huyu mkuu haijulikani ni nini kitalipuka kesho. Kila siku mambo yanatokea kwa marafiki zake wa karibu kabisa na muda si mrefu inaweza kuwa zamu.
Wanaopanga kupiga naye picha wajihadhari wapinzani wao wasijekuzitumia against them. It might be safe kupiga picha na mzee wa mikasi -Shein!
Duh dada!!
Nimeipenda sana hiyo,hata hivyo nachelea kutoa conclusion ninayoifikiria kama ndo hivyo kwa huyu mzee.
Duh dada!!
Nimeipenda sana hiyo,hata hivyo nachelea kutoa conclusion ninayoifikiria kama ndo hivyo kwa huyu mzee.
Wale wanaotaka kuniona basi mie niko London kabla sijarudi kwangu kule maeneo .JK amesha chemsha na London ndiyo hivyo tena JF wamesha tia simu kwenye chakula .
Nyota ya JK huku nje inang'ara kweli kweli. Kuna watu wengi kweli huku nje ambao wanaona JK ni mkombozi Afrika.
Ukiona kila rais au waziri mkuu wa mataifa makubwa yuko tayari kumpokea JK ni dalili tosha kwamba kwa nje nyota yake bado inang'ara.
JK ndiyo katua dakika chache zilizopita na sasa yuko US rasmi.