Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Hapa haujaongea chochote, huu ni ushoga!sana sana umeingiza 7000/=tuJk kamtia adabu slaa hana hamu mpaka kazeeka mapema na amekwisha kabisa kisiasa hana jipya kabisa.
Hapa haujaongea chochote, huu ni ushoga!sana sana umeingiza 7000/=tuJk kamtia adabu slaa hana hamu mpaka kazeeka mapema na amekwisha kabisa kisiasa hana jipya kabisa.
Tuna Rais ambaye hayupo serious kwa jamblo lolote, udini unavotafuna taifa ni wa kulalamikiwa na rais au wa kukomesha? ila pia ni vigumu sana kukata tawi la mti uliokalia! Pale alipotajwa kuwa ni chaguo la mungu alichekelea, pale alipo compromise na lipumba kuhusu kura za waislamu "kuokoa jahazi" alitabasamu leo anatoa wapi guts za kuusema udini uliomuingiza madarakani au ni kutuambia nae kafilisika??Rais Jakaya Kikwete jana alipuliza kipenga kuzindua Tamasha la Matumaini Dar es Salaam na kuwanyooshea kidole viongozi wa dini wanaohubiri siasa katika maeneo ya ibada akisema kufanya hivyo ni kufilisika kifikra.
Akizungumza muda mfupi kabla ya kupiga filimbi kuashiria ufunguzi wa tamasha hilo lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema ni jambo la hatari kwa Watanzania kukubali kugawanywa kwa misingi ya udini, rangi au maeneo wanakotoka.
Alitaka dini zitumike kuwaunganisha wananchi na siyo kuwagawanya akisema Watanzania wanakwenda makanisani na misikitini kusali na siyo kufanya siasa. Alisema kiongozi yeyote wa dini anayesisitiza waumini wake kuunga mkono chama chochote cha siasa amefilisika kifikra.
Ni hatari tukigawanyika, ni lazima tuwaambie watu wanaotaka kutugawanya kwa misingi ya dini, rangi au maeneo tunakotoka kwamba hatutaki na wala hatukubali. Nchi hii wakoloni waliishindwa hivyo lazima tuendeleze utamaduni wa kukataa kugawanywa kwa msingi wowote ule, alisema Rais Kikwete.
Aliwataka wanasiasa kuepuka kauli zenye kuchochea vurugu miongoni mwa wananchi wanapokuwa kwenye harakati zao za kisiasa akisema madaraka ya kisiasa yatafutwe kwa njia ya amani na siyo kuingiza kauli za uchochezi zenye kuwagawa wananchi.
Nawaasa wanasiasa wasipandikize chuki za kidini au maeneo wanakotoka wananchi, kama ni madaraka yatafutwe kwa njia ya amani kwenye sanduku la kura, alisema Rais. Alisema Tamasha la Matumaini liwe mfano wa kuigwa wa kutumia michezo kuwaunganisha watu badala ya kuwagawanya.
Alisema timu zilizotumbuiza jana zilimebeba majina ya Simba na Yanga, zimejumuisha wabunge kutoka vyama vyote ikionyesha kuwa wote ni wamoja licha ya tofauti za kisiasa.
Alipongeza mkakati wa waandaaji wa tamasha hilo ambao wametangaza kwamba mapato yatakayopatikana yatatumika kusaidia shule za sekondari katika mikoa minane nchini.
Hebu nikome we mtoto wa mtaani na usinizoee kabisa kumbuka mapenzi hayalazimishwi,sikufahamu wala hunifahamu kama huna hoja na huna kazi ya kufanya nenda kafue hata nguo za watoto kwa slaa msaidie jose.Hapa haujaongea chochote, huu ni ushoga!sana sana umeingiza 7000/=tu
Rais Jakaya Kikwete jana alipuliza kipenga kuzindua Tamasha la Matumaini Dar es Salaam na kuwanyooshea kidole viongozi wa dini wanaohubiri siasa katika maeneo ya ibada akisema kufanya hivyo ni kufilisika kifikra.
Akizungumza muda mfupi kabla ya kupiga filimbi kuashiria ufunguzi wa tamasha hilo lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema ni jambo la hatari kwa Watanzania kukubali kugawanywa kwa misingi ya udini, rangi au maeneo wanakotoka.
Alitaka dini zitumike kuwaunganisha wananchi na siyo kuwagawanya akisema Watanzania wanakwenda makanisani na misikitini kusali na siyo kufanya siasa. Alisema kiongozi yeyote wa dini anayesisitiza waumini wake kuunga mkono chama chochote cha siasa amefilisika kifikra.
Ni hatari tukigawanyika, ni lazima tuwaambie watu wanaotaka kutugawanya kwa misingi ya dini, rangi au maeneo tunakotoka kwamba hatutaki na wala hatukubali. Nchi hii wakoloni waliishindwa hivyo lazima tuendeleze utamaduni wa kukataa kugawanywa kwa msingi wowote ule, alisema Rais Kikwete.
Aliwataka wanasiasa kuepuka kauli zenye kuchochea vurugu miongoni mwa wananchi wanapokuwa kwenye harakati zao za kisiasa akisema madaraka ya kisiasa yatafutwe kwa njia ya amani na siyo kuingiza kauli za uchochezi zenye kuwagawa wananchi.
Nawaasa wanasiasa wasipandikize chuki za kidini au maeneo wanakotoka wananchi, kama ni madaraka yatafutwe kwa njia ya amani kwenye sanduku la kura, alisema Rais. Alisema Tamasha la Matumaini liwe mfano wa kuigwa wa kutumia michezo kuwaunganisha watu badala ya kuwagawanya.
Alisema timu zilizotumbuiza jana zilimebeba majina ya Simba na Yanga, zimejumuisha wabunge kutoka vyama vyote ikionyesha kuwa wote ni wamoja licha ya tofauti za kisiasa.
Alipongeza mkakati wa waandaaji wa tamasha hilo ambao wametangaza kwamba mapato yatakayopatikana yatatumika kusaidia shule za sekondari katika mikoa minane nchini.
Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
mi nikiwa mtoto wa mtaa we utakuwa mtoto wa kikopo!niwe na mapenzi na wewe nimechanganyikiwa, ni bora kufua nguo za slaa kuliko kulamba ........ ya mafisadi ili uweze kulaHebu nikome we mtoto wa mtaani na usinizoee kabisa kumbuka mapenzi hayalazimishwi,sikufahamu wala hunifahamu kama huna hoja na huna kazi ya kufanya nenda kafue hata nguo za watoto kwa slaa msaidie jose.
Jana nilishangazwa sana na tukio moja ambalo sikulitarajia kabisa. Baada ya Rais kikwete kukemea mambo ya Udini kwenye mambo yenye sura ya kitaifa ; mpira kati ya washabiki wa yanga na simba (wABUNGE) ulianza.Baada ya kipindi cha kwanza wachezaji walienda mapumziko.Kilichonishangaza ni pale nilipoona kikundi cha nyimbo za injili kikiingia uwanjani na kuanza kuimba injili hata nikajiuliza "Hivi hawa walikuwa mamemsikia Rais alichozungumza?" Kusema kweli hili liliniboa.Hivi kwa pale kulikuwa na haja gani ya kuingiza jambo lenye mtizamo wa kiudini?
Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
Ni hatari tukigawanyika, ni lazima tuwaambie watu wanaotaka kutugawanya kwa misingi ya dini, rangi au maeneo tunakotoka kwamba hatutaki na wala hatukubali. Nchi hii wakoloni waliishindwa hivyo lazima tuendeleze utamaduni wa kukataa kugawanywa kwa msingi wowote ule, alisema Rais Kikwete.
Mie ni msomaji mzuri wa makala zako na ninakuheshimu sana.Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
wanauawa na nani na kwa nini!????tafadhali tulishe ujinga. mimi naahidi kuukataa ujinga wako.
jadili contents na sio kuupindisha ujumbe aliotoa raisi.
au amekugusa??? una kila dalili ya kufilisika kifikira. come to your country and shade your own blood for the bright tommorow of you country.... sio unatamani kuona maiti za watu ili wewe upate cha kuandika
jk yupi yuko imara?huyu anaedondoka mwenyewe majukwaani au kuna mwingine?hayo mambo ya buku 2 na ujinga mwingine unaofanana na huo nikuulize wewe kibaraka wa lumumba? vipi chemba kawapa maelekezo mapya ya kupambana na wapinzani wenu?inawezekana najishushia hadhi sana kujibizana na mtu wa hovyo hovyo kama wewe ila nikatika namna ya kukusaidia wewe iliuondokane na huo mzigo wa ujinga unaokuelemea siku zote, samahani kama nitakua nimekukwaza ila huo ndio ukweli wako najua ni mchungu ila jitahidi kumeza hivyo hivyo cuz ndio dawa yenyewe hiyohabari ya sumu mimi siijui kama unataka sumu au tindikali nenda kwa vijana wa bavicha akina beni na wewe mwenyewe ndiyo mliozoea kutumia sumu lakini safari hii andaeni nepi mtatikiswa sana na yule mzee wenu anayewapa buku 2 kumchafua jk mmechina unipata dogo mwambie na babu yenu kuwa jk hatikisiki yuko imara
Mie ni msomaji mzuri wa makala zako na ninakuheshimu sana.
Naomba kukupa taarifa kwamba kila hatua ya mchango wako kwasasa unayotoa unanifanya nazidi kurudi nyuma hatua tano kutokukuheshimu na kufuatilia kila unachoandika.
Hii ni kwasababu nowdays umekuwa kama limbukeni na mshabiki hausimami kama ilivyokuwa siku za nyuma.
Najisikia vibaya kuanza kukupoteza lakini sina jinsi.