Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Hivi sijui JK aliingiaje madarakani? Ukisikia zari la mentali ndio hii ya jk kuwa rais. Kwani hajitambui hata kidogo.
Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
Hebu fafanua mzee mwenzangu! Mimi nionalo hapa ni kuwa anajaribu kuyafanya maji yakwee mlima...anawakataza viongozi wa dini kuwaambia waumini wao kiongozi bora ni yupi, wakati anashindwa kuwakataza "wanasiasa wake" kuacha kutumia udini kuingia ikulu. Simuelewi huyu ndugu!Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
jamaa alikuwa prezidaa ilikutimiza ndoto yake ya kuwa nae kawa rais wa jamhuri hii ya watu wa tanganyika, otherwise hakujua anakuwa rais ili aifanyie nini tanganyika na watu wake.No doubt JK Hakuwa amejiandaa kuwa Rais...Jamaa aliipata nafasi ili tu kutimiza kuwa 1995 alikuwa nyuma ya Mkapa,so to make the law of series and sequence akachukua tena form....Ni kama amemuazima mtu ubongo!Anasahau alichokiongea na anakumbuka asichowahi kutenda
Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
Hivi sijui JK aliingiaje madarakani? Ukisikia zari la mentali ndio hii ya jk kuwa rais. Kwani hajitambui hata kidogo.
wakati mwingine embu jaribu kutumia akili yako walau kidogo tu ktk kuijenga nchi yakoanakumbukumbu nzuri sana na hapo slaa anahusika baada ya kuasi kanisa halafu anakuja kutuharibia siasa kwa kauli za vitisho eti nchi haitatawalika
Hivi huwa ana kumbukumbu au ana tatizo la kukumbuka ?
sidhani km jamhuri yetu itakuja kutawaliwa tena na prezident material km jk, huyu ndio wa mwisho kabisa.
Tena Lipumba ndiye aliyegongea msumari jinsi walivyosaidiana ili washinde. Leo kasahau. Mpeni ile CD ya Lipumba.Du atlast jamaa kajistukia,kwani huu upuuzi wa kufanya campaign kwenye sehemu za sala sizilikuwa mbinu chafu za CCM,kwenye uchaguzi wa 2010?sasa wanajidai kitu gani hapa?na infact Kikwete ndo alikuwa anatumia zaidi misikiti kufanyiwa campaign,hata juzi juzi mzee wa meno ya Tembo ameshaanza kupita pita sehemu nyingi akihubiri hilo tusisahauliane ndugu zangu,alafu kikwete unataka kumstonewash nani hapa?acheni usanii
Rais Jakaya Kikwete jana alipuliza kipenga kuzindua Tamasha la Matumaini Dar es Salaam na kuwanyooshea kidole viongozi wa dini wanaohubiri siasa katika maeneo ya ibada akisema kufanya hivyo ni kufilisika kifikra.
Akizungumza muda mfupi kabla ya kupiga filimbi kuashiria ufunguzi wa tamasha hilo lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema ni jambo la hatari kwa Watanzania kukubali kugawanywa kwa misingi ya udini, rangi au maeneo wanakotoka.
Alitaka dini zitumike kuwaunganisha wananchi na siyo kuwagawanya akisema Watanzania wanakwenda makanisani na misikitini kusali na siyo kufanya siasa. Alisema kiongozi yeyote wa dini anayesisitiza waumini wake kuunga mkono chama chochote cha siasa amefilisika kifikra.
Ni hatari tukigawanyika, ni lazima tuwaambie watu wanaotaka kutugawanya kwa misingi ya dini, rangi au maeneo tunakotoka kwamba hatutaki na wala hatukubali. Nchi hii wakoloni waliishindwa hivyo lazima tuendeleze utamaduni wa kukataa kugawanywa kwa msingi wowote ule, alisema Rais Kikwete.
Aliwataka wanasiasa kuepuka kauli zenye kuchochea vurugu miongoni mwa wananchi wanapokuwa kwenye harakati zao za kisiasa akisema madaraka ya kisiasa yatafutwe kwa njia ya amani na siyo kuingiza kauli za uchochezi zenye kuwagawa wananchi.
Nawaasa wanasiasa wasipandikize chuki za kidini au maeneo wanakotoka wananchi, kama ni madaraka yatafutwe kwa njia ya amani kwenye sanduku la kura, alisema Rais. Alisema Tamasha la Matumaini liwe mfano wa kuigwa wa kutumia michezo kuwaunganisha watu badala ya kuwagawanya.
Alisema timu zilizotumbuiza jana zilimebeba majina ya Simba na Yanga, zimejumuisha wabunge kutoka vyama vyote ikionyesha kuwa wote ni wamoja licha ya tofauti za kisiasa.
Alipongeza mkakati wa waandaaji wa tamasha hilo ambao wametangaza kwamba mapato yatakayopatikana yatatumika kusaidia shule za sekondari katika mikoa minane nchini.
Natumai unamfahamu vizuri mnyama aitwae Nguruwe!!
Utamuosha kwa maji safi na yenye dawa. Lkn pindi ummalizapo kumuosha tu na kumruhusu aondoke.
Hurudi tena kwenye tope lenye uchafu na kujigaragaza zaidi ya kabla haujamuosha?!
sasa wewe unadhani lipumba ni mzima hana anachokijua kafilisika hasa,Tena Lipumba ndiye aliyegongea msumari jinsi walivyosaidiana ili washinde. Leo kasahau. Mpeni ile CD ya Lipumba.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
umeelewa matumizi ya hicho kiunganishi "kama" au umekimbilia kupost tu?kwani kunaakina jk wa ngapii si mmoja tu au umeanza mtindo wako wa kukimbia kivuli chako mwenyewe,
Hivi sijui JK aliingiaje madarakani? Ukisikia zari la mentali ndio hii ya jk kuwa rais. Kwani hajitambui hata kidogo.