kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
kwa nini m/kiti wako wala kurugenzi ya mawasiliano ikulu haikukanusha kauli ya m/kiti wa ccm B kuwa alikusaidieni kuingia ikulu 2010? kwa nini lema mwenye ushahidi wa udini wa jk hajaambiwa auwasilishe ili jk mwenyewe aukane hadharani? km wewe umetumwa usidhani kila unaemuona humu katumwa kama wewe, wengine tumejituma wenyewe kwa ajili ya taifa letu wenyewe hivyo hatuhitaji pole wala shukurani.Jenga hoja siyo unakurupuka tu hata kama umetumwa siyo hivyo mkuu, hivi unataka kusema alichokisema JK ni uongo? Mbona tunawaona alina SLAA wanavyojaribu kurumia akina ASKOFU GWAJIMA kueneza upuuzi wao. Usifanye kuweka pamba masikioni.