Acha uhuni wewe. yaani gazeti la RAI unaita ni la Udaku? gazeti gani sasa utaliamini
viongozi wachache sana wenye uvumilivu kama jk hana haraka lakini kazi inafanyika.
Hata mimi napenda alichofanya JK lakini asisahau kuchukuwa madini na mbao huko kulipia gharama tunazoingia wakati wa kutekeleza jukumu letu la kuwafanya Wakongo nao waishi na kuifurahia nchi yao kama binadamu wengine.
Dhambi kubwa sana inayowakabili wacongoman ni uoga!
I can't image nchi kubwa na yenye nguvu kazi kubwa ya kutosha kabisa kama DCR kunyanyaswa (tena kijinsia) na ka nchi kama rwanda!
Enzi za kabila chini ya mwamvuli wa SADC tuliwasaidia ku recruit wanajeshi vijana wa kicongo wa kutosha kabisa kuilinda nchi yao, cha ajabu kwa uoga wao wakawa wa kwanza kuikimbia vita au kujiunga na upande wa maadui, huku nchi yao ikitegemea utetezi wa majeshi ya SADC kutoka Angola, Zimbabwe, Botswana na sasa Tanzania kwa mwamvuli wa UN
. Wewe una lako na J.K. Muache Rais wetu, anachofanya ni jambo jema sana na Mungu anaendelea kmbariki!Jk lazima asifiwe coz ni mnafiki,siku zote mataifa ya nje husifia mnafiki
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!
*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!
*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!
*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!
*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!
*Wakimbia waacha silaha,vyakula!
*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!
Jk lazima asifiwe coz ni mnafiki,siku zote mataifa ya nje husifia mnafiki
Mapato hayo yataingia vipi TRA?
Au ndio kuneemesha Ufalme wake kwa mgogo wa Wanajeshi wakiTanzania.
[h=5]*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!
*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!
*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!
*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!
*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!
*Wakimbia waacha silaha,vyakula!
*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma![/h]
. Wewe una lako na J.K. Muache Rais wetu, anachofanya ni jambo jema sana na Mungu anaendelea kmbariki!
Mazoea mabaya sana hayo, kwani kila habari lazima itoke kwenye magazeti?
si utani, leo umekuja na siasa, ama ndo plan za kuanza kugombea ...15!!!!!!!!!