hiyo ngoma ni moja kwa moja hadi Kigali. UN ilitoa saa 48 kwa m23 kujisalimisha la sivyo watapokonywa silaha. muda umemalizika na msako umeanza. baada ya goma safari kigali
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!
*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!
*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!
*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!
*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!
*Wakimbia waacha silaha,vyakula!
*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!
Good job TPDF, you have to taught PK and Museven a simple lesson on who you are!!
Siipendi ccm kama nini na ofcourse hata utawala wa JK nauchukia pia lakini kwa issue ya Congo let us be fair, Wakongo wana kila sababu ya kumshukuru JK au Tanzania, wakuu, vita vinavyosababishwa na Kagame na swahiba wake Kaguta ukweli ni kwamba vinatuathiri sana hata sisi, kuna Wabongo wengi tu Congo ambao wanamigodi midogo midogo huko, tunakua na rundo la wakimbizi hapa, kumbuka vita vyote vya nchi za maziwa makuu, kimbilio hua ni Tanzania, silipendi gazeti la Rai but nashawishika kuamini kwamba ni kweli Wakongo wanamshukuru JK na Tanzania kwa ujumla wake na kwa jinsi ninavyo wafahamu hawa watu, watakuja kweli Bongo, Rwanda hata ungewafanyia kitu gani, ile mijitu sijui imeumbwa kwa udongo gani, hainaga shukurani hata kidogo.
J.K hasafishiki kwa lolote! Ni mchafu sana huyo
hata Tanzania inasumbuliwa na watusi, wametushika pabaya katika sekta zote muhimu za ulinzi. DRC Rais wao Kabila ni mnyarwanda na ni pandikizi la Kagame, unadhani watapona?! mpaka Waje wa congoman ambao sio mamluki ndipo Congo inaweza kua huru kitu ambacho ni ngumu kwa kua kila nchi kubwa Duniani inaitamani CongoDRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...
Nawashauri JWTZ wajifanye kuwa hawajui na walenge moja kwa moja ikulu ya KAGAME ili biashara iishe mapema.
mkuu hakuna mtu ambaye anaweza kumhurumia kagame amefanya umafia kwa watu wengi ameua watu wengi sana ni mshenzi wa washenzi.
mwanahalisi je linasemaje?
ili eneo na ukanda wetu utulie, lazima kagame au museveni waondoke
Teh Teh, Mwanahalisi siku hizi limejipachika jina lingine linaitwa MAWIO na hata mwandishi wake SAID KUBENEA nae kabadilisha jina.
Wacha bwana!!!!
Hizo habari utakuwa umezitoa kwenye magazeti ya Udaku.
Unajuwa maana ya Boflo? Yaani wewe unaliwa!