JK apanda chati DRC!!!

JK apanda chati DRC!!!

Congo imegeuzwa shamba la bibi miaka dahari dahari, all in all namuunga mkono Rais wangu kwa hili ... wananchi wa Congo wanastahili kufurahia maisha na si kuteswa kutokana na rasilimali alizowapa Allah S.W.T...
 
hivi JK mtamsifia hadi lini, harafu mnatumia nguvu sana. Sifa huja zenyewe, angalia sifa alizonazo filikunjombe kwani alitafuta mpiga debe??? Juzi wakazi wa songea walikuwa wakimshangilia kila neno moja analosema tofauti kabisa na waziri mkuu. Aliposimama filikunjombe wananchi walisimama na kuanza kushangilia kama mkombozi kasimama.

Sasa nyie mnafanya kazi on empty.
we kweli ndiye empty head!!
Watu wanaongelea JK na DRC, mambo ya kitaifa, weye unaongele Filinkunjombe na mambo ya kitongojini.
Jipanue basi hata kufikiri!!!
 
safi jwtz , halafu muungane na wakongo Kagame ang'oke !!
 
I think you have so litle or no knowledge at all on War and National Defense Principles.Do some homework please

Kama umeweza kusoma na kuelewa kiswahili, naamini hata kukiandika ungeweza... hukuwa na haja ya kuonyesha umbumbumbu wako kwa kuandika kiingereza kibovu...
 
Kuna watu wanawaza utajili wa congo tu na siyo kuwasaidia wa congoman. Tz kuna utajiri mwingi lkn unapotea na kuliwa na kikundi kdg cha watu. Sasa mimacho yanawatoka congo, huko cocain hakuna maana ndy biashara kuu ya mafisadi na dhuruma ya urithi wa dunia [tembo]. Kama kusaidia iwe kwa moyo mweupe, manyani wa fikra si watu tena. Apande chat tu kuanza kuwaza mengine mkome kabisa msiotosheka. Hata mkipewa congo yote na mali zake hazita onekana na wala hakuna manufaa kwa watz wakawaida. Maisha mnayo haribu kwa vijana wetu hapa tz mnaona haitoshi south nako haitoshi mnaanza kufikiria wacongo mil 73 kwamba mtapanua soko la uovu wenu. Mimi kuanza kuwaza kuvuna congo ni ushetani mkubwa kutoka ktk vichwa dharimu. Tuna rasilimali lukuki zina potea tunabaki na sketoni ya nchi yetu huku tukipewa kongwa la utumwa wa madeni kwa vibarabara ambavyo haviwezi kudumu hata miaka 20 ijayo bali madeni hayo yatalipwa hata miaka 50 ijayo. Iweni na aibu na mjue MUNGU atawahukumu
 
*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!

*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!

*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!

*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!

*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!

*Wakimbia waacha silaha,vyakula!

*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!

Waambie wamchukue waende naye Congo. Huku tumemchoka.
 
Pitia hii link-http://www.un.org/apps/news/story.asp?NewsID=45535&Cr=democratic&Cr1=congo#.UftJUKz7YWw
 
Tumia akili Mbulula wewe uzalendo uko wapi hapo kwani wanaipigania Tz? hao askari wetu wapo huko kwa maslahi ya nani? Tulitumia nguvu kubwa sana kuzikomboa nchi za kusini mwa sahara wakati wa ukoloni lakini tulipovamiwa na Nduli mwalimu aliwaomba walau wamkemee tu Amini lakini hamna hata mmoja aliyemkemea wala kutusaidia it's time now tuelekeze nguvu kujenga taifa letu na sio kujijengea maadua huu ni mradi wa watu huu

Hizo ndio akili Kiazi Wewe!!?. Nyerere aliwaomba wakazi wa Goma wamkemee Nduli Amin!!!!?... pumba...vu!. chuki zako na marehemu Mobutu umezitunza moyon hadi sasa!!!!!?, pumba...vu!. Watoto wanakufa wengine wanapata majeraha, wanawake na wazee wanapata vilema na kubakwa na kulawitiwa. Kwa kuwa wengine hawajali basi na sisi tusijari!!!. SADC nzima wameunga mkono SA na Malawi wamechangia majeshi, hilo ulioni!!!, Nawasiwasi wewe ni m23 au mtusi. Wewe na wenzako wenye akili kama zako ni Ukoma.
 
Hawa jamaa wana mbinu nyingi za kutaka kuvuruga mipango ya UN, yaani wanafanya mambo ya kitoto kuhadaa DUNIA kwamba suala la DRC si rahisi kupatiwa ufumbuzi!! Kwa nini nalisema hili - leo Museveni kaja na mpya, anasema waasi wa Al Shabaab wamevamia mji mdogo wa Kongo uliopo mpakani na Uganda eti waliuteka kwa muda na kuwafanya RAIA wa Kongo kukimbilia nchini Uganda. Hivi Al Shaabab wana interest gani ndani ya DRC, kwa nini wajitokeze wakati M23 wamepewa masaa 48 kusalimisha silaha zao - kwa mawazo yangu naona huu ni mchezo wa kuhigiza uliochongwa na M7 na PK wakiwa na lengo la kushtua nchi za magharibi specifically Merikani ambayo imewakalia kooni, wala siwezi kushangaa kama wanaohitwa ni Al Shabaab ni kikosi kidogo cha majeshi ya M7 au PK kilifanya operation hii kutaka ku-draw attention za International Community oh yes publicity STUNT. Ukiangalia kwa makini utagundua siku hiyo hiyo au kesho yake Balozi wa Rwanda ndani ya UN alipokuwa anaulizwa maswali/ufafanuzi na wandishi wa habari alikuwa anajibu kimkato mkato kwa jeuri na kiburi kabisa mtu unashangaa hawa watu wamelelewa VIPI - jamaa hawa wako mahili sana katika harakati zao za kudanganya DUNIA, wanacho tafuta hapa ni kutaka kuonyesha kwamba saula la DRC ni gumu kutatuliwa, madai ya kusema kwamba kundi la AL Shabaab wamekwisha jipenyeza ndani ya DRC(uongo mtupu) lina lengo la kuvuruga mipango ya UN, yaani UN ipunguze kasi ya kuwashughulikia M23 na kuanza kufikilia Al Shaabab wa kuchongwa na jamaa hawa. Nataka niwakumbushe kwamba dunia imekwisha washtukai mbinu zao, wasipo jirudi watasjilahumu sana siku za usoni.

Hao watutsi wakiongozwa na tyrants mu7 na kagame ni waongo kupita kiasi. Hata km al shaabab wapo (jambo ambalo si kweli), UN will not stop dealing with the tutsi blood suckers in DRC
 
Back
Top Bottom