Gazeti gani ili ebu weka habari yote Boflo japo naona chumvi nyingii
Mazoea mabaya sana hayo, kwani kila habari lazima itoke kwenye magazeti?
Gazeti gani ili ebu weka habari yote Boflo japo naona chumvi nyingii
Safi sana JK bora kujiunga na DRC kibiashara kuliko hawa mapimbi wa Rwanda.Gazeti la Leo Alhamis 08/01/2013la Rai Nguvu ya Hoja.![]()
Magamba kwa kuanzisha
majiviwanda ya uongo tu hamjambo mbona JWTZ wapo busy kupiga na kubaka
watu huko Mtwara? au M23 ndo wapo mtwara siku hizi?
mkuu, sifa za JK si za kuzipamba. ni watu wenye ufinyu wa fikra tu kama wewe ndo hawaoni uthaman wa JK. WAKONGOMAN ambao ndo wanateseka na madhila ya M23 wameona thaman yake kama ilivyotokea kwa comoro na madagascar
DRC ina watu millioni 70, ina madini, ina misitu... lakini inasumbuliwa na Rwanda yenye watu milioni 12? Hata ukijumlisha na milioni 34 wa Uganda, kweli ndio wa kuinyanyasa ncho kubwa namna hiyo?!!!
Kweli waafrica tumelaaniwa... si bure...
Safi sana JK bora kujiunga na DRC kibiashara kuliko hawa mapimbi wa Rwanda.
Gazeti gani ili ebu weka habari yote Boflo japo naona chumvi nyingii
Boflo wallahi hilo boflo halinyweki hata kwa cahi ya maziwa yakheeeeee.*Wananchi wamuona mkombozi,shujaa wao!
*Wabunge wa DRC kufunga safari hadi ikulu ya Magogoni kumshukuru!
*Kumuomba kichapo cha Nduli Amini kirejewe kwa Kagame!
*M23 waishi kama Ngedere kwa matunda porini!
*Ni baada ya kichapo cha masaa2 tu toka JWTZ!
*Wakimbia waacha silaha,vyakula!
*Saa 48 walizopewa kuweka silaha chini zazidi kuyoyoma!
aisee..
leo ndio kichapo kinaanza rasmi kuanzia saa kumi
Haya hayaaa March 23....kwa hiyo kifupi hapa ni kwamba Tanzania na Rwanda zipo vitani kwenye uwanja wa DRC