JK anena kupitia face book

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
It is true that investing in education requires a lot of money but it is also true that the price of having illiterate people is too big compared to the price of investing in the education sector. It is for that reason that we will continue to put emphasis on the education sector in each budgetary year. (Launching of the second phase of the Secondary Education Development Program (SEDP II), Tuesday, 18 January 2011)
 
bado mnamzungumzia huyu aliyeshindwa kabla hajaanza? tuzungumze kuhusu wanaume wanaopigana kufa na kupona kwa ajili ya Taifa letu kama akina mwakyembe
 
Lazima umuongelee yeye hakuna ujanja hata kama utakataa ukweli huu, yeye ndio Rais wako, Amiri Jeshi mkuu wako nk, huna mwingine zaidi, kuwa mpole kijana
 
Jamani jazba haijengi kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!tunaomba points!!!!!!!!!!
 
Which emphasis is he referring to?
Hypocrite!
Fairy tales!
Dreams!
Mythology!
hE IS VERY SURE THAT the classes have no desks, no pit-latrines, no salaries to teachers, no labs, nothing at all!
Labda shule ya MSOGA aliyokabidhiwa na wachina juzi ndiyo inayowekewa kipaumbele!...
Huh!
 
It is true that investing in education requires a lot of money but it is also true that the price of having illiterate people is too big compared to the price of investing in the education sector. It is for that reason that we will continue to put emphasis on the education sector in each budgetary year. (Launching of the second phase of the Secondary Education Development Program (SEDP II), Tuesday, 18 January 2011)

In the other hand, it's also true that the cost of having erudite but ignorant and illiterate persons like him - JK and the likes of EL, RA etc costs much this country.
 
Nimetoka kuanmgalia sasa hivi taarifa ya mchana ya TBC1, kuna shule moja ya kule kimara inaitwa msalanga wanafunzi wa darasa la tano mpka la saba ndo wanaklia madwati ili wazoee kuandikia kwenye madawati wasije wakashindwa kuandika siku ya mtihani wa darasa la saba, mwalimu wao amesema. Hii inamaana kuwa watoto hawa hawakuwahi kukalia dawati toka la kwanza mpka la nne.

Shule ya msalanga pia ina matundu ya choo manne na yanatumia maji wakati shule hiyo hawana maji.
Ilikukabiliana na hali hii mbaya ya vyoo, wanafunzi wameombwa kila mtu awe anakuja na lita 5 za maji ya kutumia chooni.

Kilichonichekesha ni kuwa hata walimu hawana choo walichokifanya ni kuchimbia mapipa kama choo.

Shame on JK hujui wanachokifanya!
 
Hii ilionyeshwa tangu jana saa2 usiku!
Kuanzia darasa la tano ndio wanaruhusiwa kukalia madawati, wengine wa madarasa ya chini ni nyama-chini!...
 
Nimetoka kuanmgalia sasa hivi taarifa ya mchana ya TBC1, kuna shule moja ya kule kimara inaitwa msalanga wanafunzi wa darasa la tano mpka la saba ndo wanaklia madwati ili wazoee kuandikia kwenye madawati wasije wakashindwa kuandika siku ya mtihani wa darasa la saba, mwalimu wao amesema. Hii inamaana kuwa watoto hawa hawakuwahi kukalia dawati toka la kwanza mpka la nne.

Shule ya msalanga pia ina matundu ya choo manne na yanatumia maji wakati shule hiyo hawana maji.
Ilikukabiliana na hali hii mbaya ya vyoo, wanafunzi wameombwa kila mtu awe anakuja na lita 5 za maji ya kutumia chooni.

Kilichonichekesha ni kuwa hata walimu hawana choo walichokifanya ni kuchimbia mapipa kama choo.

Shame on JK hujui wanachokifanya!

Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo
 
Kk, I saw this news yesterday evening on TBC1, I was shocked, and wondered myself; if the towns pupils are treated this way…what about the upcountry’s ones!!!!? The education system and administration is f*ck*d up, sorry to say so.
The other day I was talking to one of the head teacher in towns and told me it is waaaaay better to ask for desks donation from telecommunication/business companies than submitting a proposal to MoE!!!!!
 
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

Lakini, ukubwa wa nchi si hoja kwani pia rasilimali za nchi ni kubwa! Usimamizi wa hizi rasilimali na mgawanyo wake kwa Taifa ndo ungeondoa matatizo yote haya. Iweje ukubwa wa nchi kiwe kikwazo? Basi kama imewashinda wanaotawala waingie kwenye sera ya majimbo kama ilivyo USA. Kwa nini USA ama India hawalalamiki kuwa nchi zao ni kubwa???? na wana maendeleo kibao!!!!!!
Ndg yangu hebu jitahidi kuondokana na hayo mawazo mgando uliyo nayo ili uweze kuchangia mambo yenye mantiki
 
I can't talk about someone lacking people's legitimacy, whenever he appears on TV i tune it off or change the station !!!! Whenver i hear his voice on the radio station i do the same. He is simply not my president !!
 
As far as the size of the country is concerned,i totally disagree with the fact that country like japan has a population of almost 30 mil people only in the city of Tokyo leave alone the population of other cities around japan.
My point is we Tanzanians we need to be more organized and serious when it comes to national interests and most important is allocation of funds in priority.I think most of you will understand what i meant when i say priority.
 
Wasiwasi wangu ni kwa huyu GeniusBrain mimi nadhani ana mtindio wa ubongo au uelewa wake ni kiduchu mno ,maana mtu aliye sawa hawezi kujibu hivi.Samahani mtu mzima ila unaboa.
 
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

Ni ajabu, Ulileta ujumbe wa kwanza kama Rostam, naona unaondoka kama Makamba! Why?

Achana na maneno ya kukariri. Nchi ni kubwa kama nini? Hiyo ndo sababu? Just say ni UZEMBE. Wengine wanalalamika kukosa nchi kubwa wewe unalalamika kuwa na nchi kubwa!
 
I can't talk about someone lacking people's legitimacy, whenever he appears on TV i tune it off or change the station !!!! Whenver i hear his voice on the radio station i do the same. He is simply not my president !!

kuna picha yake hapa ofisini sijui niichane chane
 
Lazima umuongelee yeye hakuna ujanja hata kama utakataa ukweli huu, yeye ndio Rais wako, Amiri Jeshi mkuu wako nk, huna mwingine zaidi, kuwa mpole kijana

Hakuna genius anayeandika rubbish kama wewe. Mata.. yako!!:crying:
 
Back
Top Bottom