JK anena kupitia face book

JK anena kupitia face book

halafu ana kizungu kibaya kabisa.....hata mwanangu blanca anamzidi lol
 
I can't talk about someone lacking people's legitimacy, whenever he appears on TV i tune it off or change the station !!!! Whenver i hear his voice on the radio station i do the same. He is simply not my president !!

kuna picha yake hapa ofisini sijui niichane chane

Chana ufungiwe ofisi na wenye nchi yao
 
Labda umulize taarab hapo sawa! Foleni kila kona ya jiji, nyumba za tembe asilimia 90 tanzania, afya na elimu mbovu, watu hawana maji
 
Lazima umuongelee yeye hakuna ujanja hata kama utakataa ukweli huu, yeye ndio Rais wako, Amiri Jeshi mkuu wako nk, huna mwingine zaidi, kuwa mpole kijana

Nawewe unafanana naye kwa kuwa mnawaza kwa kutumia matumbo yenu.Aligombea ili awe amiri jeshi mkuu?umepotoshwa.
 
Eti huyo ndo GENIUS????!!! Anashangilia JK kushiriki kwenye Face Book.... Wakati kiwango cha maisha yetu kinaporomoka kwa kasi ya kutisha!!!!!.. Wonders shall never end.....
 
Lazima umuongelee yeye hakuna ujanja hata kama utakataa ukweli huu, yeye ndio Rais wako, Amiri Jeshi mkuu wako nk, huna mwingine zaidi, kuwa mpole kijana

Hivi ni kweli unaweza kukubali kuwa baba wa mtoto ambaye una uhakika hujahusika? Najua wako wanaokubali,But unajua kwa nini? Kwa sababu mama wa mtoto anachunika na ana michuzi!!! Hata kapuku kama mimi ningeona aibu kukalia kiti ambacho nini uhakika sina ridhaa ya wenye nacho.SO Basically; Alijua kuwa watanzania wamemchoka yeye na chama chake ndiyo sababu akaiba kura kwa makusudi ili ashinde kihuni and so huyu siyo rais wetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!How about that!......no offence
 
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

Mkiacha kuiba wanaweza kufanya...jiulize zile zote mlizoiba hazingeweza kutengeneza madawati wakakaa? Fanya tathmini

Ningekushauri uwashauri wenzako waache kuiba wanaweza kufikia mahitaji haya ila nagundua wewe na wao ni wale wale
, mmefanana hadi mikia na madoadoa
 
Subject ni JK kunena kupitia facebook.

Maswali: Nani anamuandikia? mbona mpaka mwishoni mwa mwaka jana alikuwa hajui kushika mouse? Na hiyo ni baada ya kozi ya zaidi ya miezi 6 tangu alipozindua mkongo wa taifa.

Una maana ame-improve ghafla hivyo? Au ndo sababu siku hizi amepunguza safari?
 
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

hizi kauli za ki ccm zinachosha sana. kwamba nchi ni kubwa ni kisingizio cha walioshindwa uongozi. hivi lazima ccm waendelee kutawala kwanini tusiwatoe jamani?
 
Wasiwasi wangu ni kwa huyu GeniusBrain mimi nadhani ana mtindio wa ubongo au uelewa wake ni kiduchu mno ,maana mtu aliye sawa hawezi kujibu hivi.Samahani mtu mzima ila unaboa.


Msamehe bure yuko kazini anatafuta kitumbua cha watoto!!!!!

Tiba
 
Nchi hii ni kubwa na mahitaji ni mengi, yote hayawezi kufanywa mara moja kama ufikiriavyo

Billion 94 zaweza nunua madawati shule zote nchini, uko wapi wewe??? Nchi inapoteza mabilioni mangapi kwa wajanja??!! THINK BIG and WISELY!
 
I asked my self is he a president??? No

then who is he?? Thief.. Liar.. Dictator..

Again where will he be in 2016??? Answer keko maximum prison for 20 yrs prison sentences.. On dowans, bilila kempinsky and serengeti road, arusha killings, epa..

Jk should be jailed..... Pleaze
 
Naskia kichefuchefu, ni juzi tu nilikua nafanya research kuhusu MMEM na MMES, yaani ni uozo mtupu, eti mwalimu ana wanafunzi zaidi ya 800 kwa shule ya msingi na kapewa ruzuku sh.300000 ambayo sera inasema pesa hizo ni kwa ajili ya vitabu, mitihani, utawala, matengenezo sijui na upuuzi gani tena!!!!
 
Kusema maneno mazuri is one thing na kufanya mambo mazuri ni kitu kingine tofauti. Maneno tumeshayasikia sana. Tunataka vitendo sasa
 
Kama hayo aliyoyasema mkuu yametoka rohoni basi hana budi kutekeleza azma ya chadema ya kutoa elimu bure hadi kidato cha sita iwapo chama kingelifanikiwa kuingia madarakani, fedha zinazohijika kutekeleza jambo siyo nyingi; hivi sasa elimu ya msingi ni bure. Fedha za karo zinazokusanywa kutoka kwa wanafunzi walioko kwenye sekondari za kutwa za serikali ni shs 26 bilioni hivi, na zile zinazo kusanywa kutoka shule za sekondari za bweni ni shs 8 bilioni, jumla shs 34 bilioni. Hii ina maana serikali ikitenga shs 50 bilioni, ikaweza kutoa elimu bure hadi kidato cha sita, bila hata kuwataka wazazi wachangia chochote. Sasa kama serikali haioni shida yeyote kulipa shs 94 bilioni za dowans inashindwaje kutenga shs 50 bilioni kwaajili ya kutoa elimu bure kwa watoto wa walala hoi?
 
Back
Top Bottom