Nimekuwa nikimuangalia jk kwenye mikutano ya kimataifa anaonekana kama mtu ambaye haelewi yanayozungumzwa kiasi kwamba lazima akae na mtu karibu ili kudesa(kuigilizia au kutafsiliwa). Mfano ni mikutano miwili ambayo ni ule wa world economic forum Davos ambapo alikaa na mtaala kiingereza mh. Ben mkapa huku akionekana hajiamini, nyingine ni juzi hapa huko Ivory coast, wakati kikao kinaendelea anaonekana kumsumbua Mh. Ben Membe huku akionekana haelewi. Ninawasiwasi na uelewa wake kwenye international meeting. Au wanajamii mnamwonaje.

Hapo ana wa kumdesea,akaamue aingie na karatasi ili adese kwenye karatasi!!!!

Natamani kufahamu Pres. Obama alikuwa anawaza nini?
Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
alikuwa anafikiria "hivi huyu jamaa kwao hakuna ma 'apples' nini, mbona katolea macho?....maana anachoongea mi hata sielewi....nimemuuliza kwa nini nchi yake masikini eti anasema hata yeye hajui...dah!"
Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu! Lini na wapi Mkapa aliwahi kusema eti JK ni mashine nyingine? Tuache ushabiki. Kila mtu anajua kuwa IQ ya JK haifikii hata 50% ya Mkapa, pamoja na kuwa wote wana kale kaugonjwa cha kimaadili kinachojulikana kama ufisadi, ila pamoja na mapungufu yake Ben alikuwa intelligent. Kama utakumbuka vizuri Tim Sebastian alimvulia kofia katika Hard Talk (orijino) BBC kwani Mkapa alifanikiwa kujenga hoja yake vizuri pamoja na challenges. Sasa mi sijawahi kumwona JK katika debate show yoyote hata ya hapa nchini (refer debate shows za uchaguzi) sembuse ya huko nje! Yaani hii ndo Achilles heel ya JK kama mwanasiasa!