Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
- Thread starter
- #81
DUUU DR NDUNGURU NA CHAMBO......!! haya bwana....!!
Ndio tatizo la mtu mmoja kuwa na mamlakq makubwa ya kuteua na kufukuza bila chombo cha kufanya check and balance
DUUU DR NDUNGURU NA CHAMBO......!! haya bwana....!!
siamin macho yangu kwa haya uyasemayo limekutoka jasho jingi mno kuupigania utawala huu 2005 imekuwaje? umetupwa?
Kutupwa? 2005 tulimaliza kazi. Hatukijua kama tungekuwa na uongozi wa aina hii- wa kuwatupa wachapakazi. Tumejifunza kutokana na makosa. Tusirejee hayo.
Amini nasema, haki itatendeka hata kama ni baada ya karne. Mulongo na timu yake wanakaribia tamati yao ya uongozi. Tunataka viongozi makini. Watafukuza. Wataua. Watajeruhi, lakini kamwe hawatapoka haki ya watu waadilifu. Zipora, its a matter of time! Cool. Hawa wanamaliza muda wao. Ukweli na haki vitakuweka huru!!!

Bi Zipora Liana ambaye amekuwa katika mgogoro wa mara kwa mara na mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulongo na meya wa jiji pia la Arusha sasa amehamishiwa ofisi ya waziri mkuu Tamisemi akiondolewa jijini Arusha kuanzia leo.
Juma Idd aliyekuwa mkurugenzi jiji la Mbeya amehamishiwa kuchukua nafazi ya Zipora hapo Arusha.
Katibu mkuu uchukuzi bwana Omary Chambo ameshushwa cheo na sasa atakuwa katibu tawala mkoa wa Manyara kuanzia leo.
Dr John ndunguru aliekuwa naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi nae amesgushwa cheo na kupelekwa Kigoma kuwa katibu tawala wa mkoa huo.
Uamuzi huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue usiku huu.
Kutupwa? 2005 tulimaliza kazi. Hatukijua kama tungekuwa na uongozi wa aina hii- wa kuwatupa wachapakazi. Tumejifunza kutokana na makosa. Tusirejee hayo.
Jk mwaka 2005 aliwapa matumaini makubwa watanzania! Lakini kadiri muda unavyokwenda ni ovyo kabisa!
kaazi kweli kweli, kutoka katibu mkuu wizara mpk katibu tawala wa mkoa