JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

Oooh,Tumaini la wana Arusha halipo tena!!!
 
kamuondoa mkurya mwenzake kwa sababu ya milungula magesa kweli mchumi tumbo,cdm iendelea kuishi daima haya maccm mapumbavu hayafai.zipora alikuwa jembe la arusha
 
Hii nchi haitaendelea kwa kukosekana uongozi bora,. Bibi Sipora Liana ameweza kuongeza mapato kutoka 400M-800M na bado anaondolewa na kupelekwa TAMISEmi akasome magazeti kweli..!!! I can't beliave this

ili uwe kiongozi mzuri ccm lazima uwe mwizi muongo,fisadi,mzushi
 
Wamemuondoa kabla ya uchaguzi wa sombetini hilo wali-discuss CCM jana kwamba mkurugenzi atatangazq matokeo mapema bila kuchakachuliwa.
Sombetini kutamwagika damu coz ukweli utalazimishwa kupindishwa na haitakubalika
 
nashindwa kuelewa kama huyu mama ni tatizo au watu anaofanya nao kazi ni tatizo maana nilimfahamu kipindi yupo tabora anyway muda utasema
 
Enenda Mama enenda lakini amini watu wa Ars walikuwa wanakuthamini na kukuheshimu kwa misimamo yako inayosimama kwenye kweli na usoyumbishwa.Ukweli watakumis ka ni kweli,na kama ni uchaguzi huu wana wa Ars ni werevu watang'amua."Wanasema pamoko kwa sana".
 
DUUU DR NDUNGURU NA CHAMBO......!! haya bwana....!!
 
Tuendeleni kuwaweka kwenye records zetu watendaji wazuri kama huyu mama 2015 tutafanya nao kazi bila kujali walikokuwa kabla.....huwezi mwondoa mtendaji mzr kama huyu mama nakumuacha mkuu wa mkoa na meya wanaopiga deal kila kukicha,ccm sio chama tena bali ni kapuni la wapigaji,mtoani marijani rajabu aje awe mgombea wenu 2015 maana sioni hata utofauti wake na viongozi wa kampuni hii ya ccm
 
Wamemuondoa kabla ya uchaguzi wa sombetini hilo wali-discuss CCM jana kwamba mkurugenzi atatangazq matokeo mapema bila kuchakachuliwa.
Sombetini kutamwagika damu coz ukweli utalazimishwa kupindishwa na haitakubalika

kaka umeona mbali nawamini makamanda pambaneni tunachotaka ni haki
 
Wamemuondoa kabla ya uchaguzi wa sombetini hilo wali-discuss CCM jana kwamba mkurugenzi atatangazq matokeo mapema bila kuchakachuliwa.
Sombetini kutamwagika damu coz ukweli utalazimishwa kupindishwa na haitakubalika

Umeonae!!!Na wamesema ile kata wamekabidhi vijana na ushindi ni lazima.
 
hakutakuwa na unafuu kwa mkuu wa mkoa Mh. Idd anamsimamo imara sana wamuulize meya mby atawaambia
 
Huyu mama alikuwa akilinda maslahi ya CHADEMA Arusha, kama hakuridhishwa na maamuzi hayo aamie CHADEMA sasa.
 
Wamemuondoa kabla ya uchaguzi wa sombetini hilo wali-discuss CCM jana kwamba mkurugenzi atatangazq matokeo mapema bila kuchakachuliwa.
Sombetini kutamwagika damu coz ukweli utalazimishwa kupindishwa na haitakubalika

Hilo la kumwaga damu sombetini liko wazi 99.9% ccm hawawezi kuiachia kata hyo ili wavune aibu that cant happen wako tayari hata kujiua wao kwa wao ili wavuruge uchaguzi kabisa kuliko kuruhusu kata hyo iende cdm.

Lema ajihadhari sana na watu wa karibu yake au marafiki wapya ndani ya kipindi hiki,hata kama akichokozwa au kupigwa kibao shavu la kushoto awape na shavu la kulia maana anatafutwa atiwe ndani kabla ya kampeni kuanza,wakubwa wote wanajua kama lema akiungana na team yake kufanya kampeni bs kata ile inaondoka koz kamanda mawazo nae yupo moshi na soon atakuwa arusha kwenye kata hiyo hiyo aliyokuwa akiiongoza kabla hajaamua kuvua gamba na kuvaa gwanda na wote lema,mawazo na diwani mtarajiwa wa.cdm wawe macho 24/7, maana kata hyo mkuu wa mkoa,mkuu wa police,meya na mkurugenzi mpya wameahidi kuirejesha ccm kwa hali na mali
 
nashindwa kuelewa kama huyu mama ni tatizo au watu anaofanya nao kazi ni tatizo maana nilimfahamu kipindi yupo tabora anyway muda utasema

Mabadiriko ya vituo vya kazi na uhamisho ni jambo la kawaida sana katika utumishi wa umma
 
Mama Liana ni jembe huwa hataki masihara hata kidogo walimtoa tabora kisa kumsweka meya lupango xaxa na arusha pia ameanza kuwanyoosha wanamtoa HII NI NOUMA MAZEE
 
Back
Top Bottom