Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,506
Bi Zipora Liana ambaye amekuwa katika mgogoro wa mara kwa mara na mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulongo na meya wa jiji pia la Arusha sasa amehamishiwa ofisi ya waziri mkuu Tamisemi akiondolewa jijini Arusha kuanzia leo.
Juma Idd aliyekuwa mkurugenzi jiji la Mbeya amehamishiwa kuchukua nafazi ya Zipora hapo Arusha.
Katibu mkuu uchukuzi bwana Omary Chambo ameshushwa cheo na sasa atakuwa katibu tawala mkoa wa Manyara kuanzia leo.
Dr John ndunguru aliekuwa naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi nae amesgushwa cheo na kupelekwa Kigoma kuwa katibu tawala wa mkoa huo.
Uamuzi huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue usiku huu.