JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

Huyo atakuwa dada yako si bure! Unavyowatetea magamba! Yamekukuta. Ila karibu tuunganishe nguvu.

Tuna waambiaga hawa MACCM hawana Undugu wala urafiki na siku yakikukuta utakuja hapa unalialia.

Ona sasa yamemkuta anashindwa Kuvumilia anabaki kubwabwaja na kutoa siri kuwa wao ndio walimuingiza na amewaangusha.
 
Tuna waambiaga hawa MACCM hawana Undugu wala urafiki na siku yakikukuta utakuja hapa unalialia.

Ona sasa yamemkuta anashindwa Kuvumilia anabaki kubwabwaja na kutoa siri kuwa wao ndio walimuingiza na amewaangusha.
Kwenye uongozi hakuna undungu kama chadema kinachoangaliwa ni utendaji tu hakuna cha jina wala unakotoka sahau haya mambo yako chadema tu.
 
kazi aliyotumwa na maCCM (kuivuruga chadema) imemshinda ndio maana wanamhamisha kutoka A town.
 
Ndio tatizo la mtu mmoja kuwa na mamlakq makubwa ya kuteua na kufukuza bila chombo cha kufanya check and balance
Wewe ulitaka nini watu wafanye ujinga halafu waachwe kwani huoni waliyo fanya pale ujenzi na uchukuzi halafu lawama wanarushiwa mawaziri acha akili za kibavicha mkuu.
 
zipora ni jembe sana angewapandisha chati serikali ya jk arusha sema haya mapumbavu hayafikiri maslahi ya taifa wanawaza matumbo yao akiongozwa na mkuu wa mkoa na meya pamoja na madiwani wa ccm.huko nyuma nimeshawahi kusema wanaohujumu ccm ni viongozi wa ccm na makada wao

Leo ndio mnajua hayo,
 
hata wanaarusha tulijua usiposimamia maslahi ya maccm lazima uondolewe pole mama ila kazi yako imeonekana kutoka makusanyo ya mil400 mpaka mia 900 honera kwa kusimamia sheria. Mbona wakurugenzi waliolalamikiwa katika miji mingine hawaondolewi? Au kwa kuwa wanalinda maslahi ya wakubwa! Kweli tz ni zaidi ya tuijuavyo.
 
hahahaaaa! Ndugu inaonekana bado hujui seniority levels ktk utumishi wa umma.
Kwa kukusaidia ni kwamba Makatibu Tawala wa Mikoa na Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali wako level moja kimadaraka na stahiki zao kimadara ziko sawa. Kilichobadilika hapo ni aina ya majukumu tu
Kwa hiyo Katibu Mkuu wa Tamaisemi ana level sawana Katibu Tawala wa Mkoa?Nilifikiri Katibu Mkuu wa Tamisemi ni bosi wa Makatibu tawala wa mikoa yote. Nieleweshe hapa
 
Kutupwa? 2005 tulimaliza kazi. Hatukijua kama tungekuwa na uongozi wa aina hii- wa kuwatupa wachapakazi. Tumejifunza kutokana na makosa. Tusirejee hayo.

Nimeipenda hii hukutaka kupindisha mambo ama kuukana ukweli. Safi sana mkuu
 
Wewe ulitaka nini watu wafanye ujinga halafu waachwe kwani huoni waliyo fanya pale ujenzi na uchukuzi halafu lawama wanarushiwa mawaziri acha akili za kibavicha mkuu.

Hivi huwezi kuchangia bila kutaja Bavicha? Wanawasumbua sana vichwa vyenu hawa bavicha kiasi kwamba kila wakati mnaweweseka sio?
 
hahahaaaa! Ndugu inaonekana bado hujui seniority levels ktk utumishi wa umma.
Kwa kukusaidia ni kwamba Makatibu Tawala wa Mikoa na Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali wako level moja kimadaraka na stahiki zao kimadara ziko sawa. Kilichobadilika hapo ni aina ya majukumu tu

Nikukumbushe kitu:

Salehe pamba ambaye leo ji mbunge (kesho anaweza kupewa uwaziri wa utalii kwa taarifa yako) aliwahi kuwa katibu mkuu maliasili.na utalii. Jk alipenyezewa fitna akamuhamisha hadi ruvuma kuwa katibu tawala mkoa.

Miezi michache baadae Jk akakiri kuwa alifanya makosa 'kumshusha cheo' salehe pamba kwani alibaini kuwa fitna alizopewa hadi kufikia maamuzi yale ilikuwa ni uongo. Alitamka haya HADHARANI.

Je Jk hajui kuwa hakumshusha cheo salehe pamba kama unavyodai kuwa wote katibu mkuu wizara na katibu tawala mkoa ni cheo kimoja?

Think twice mkuu
 
Mkuu hili ni zuzu kweli Yaani jamaa ni mchawi balaa kasha loga ndugu yake mpaka kauwa ili iwe dawa yake, jk lazima uamke kuna tatizo kwa huyu why always yeye tu ndo anakuwa Tatizo na bado unamuamini kwako bagamoyo kaharibu ukampa promo why mkuu unakuwa unachezewa hivyo.
 
nikiwa mimi,nang'atuka haiwezeka nmepata kuwa KATIBU MKUU nasimamia wizara.afu leo nikawe KATIBU TAWALA WA MKOA.from hero to ZERO...HATA MZEE WANGU MAOKOLA MAJOGO ALIKATAA HILI KWA VITENDO

Utumishi wa Umma haupo hivyo, hao wanaoperekwa mikono kama ni kweli bado wamesaidiwa hata hapo.
 
ndio uzuri wa CCM yetu ukiharibu, unapewa second chance, ukiharibu tena hatukufukuzi ila tunakushusha kacheo. NCHI imeuzwa hii..shtuka mwananchi.
 
Kuna nini Kimetokea Huko Wizara ya Ujenzi maana naona watu wamepigwa Chini na Magufuli sijamsikia sikunyingi.
Kuna miradi ya wakubwa imekwama au?

Bora wameshushwa vyeo maana wangewe kukufanya kama Waziri wa Fedha na ikabaki Historia, au Kama Mvungi.

Mamlaka yake ipo kwa Maziri au kwa Rais?
 
Hata huyo Juma Iddi awe makini sana huko A town katoka kwa rais wa Mbeya mh. Sugu hadi kwa kwa..... aah sijui nani vile?time will tell.
 
Bi Zipora Liana ambaye amekuwa katika mgogoro wa mara kwa mara na mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulongo na meya wa jiji pia la Arusha sasa amehamishiwa ofisi ya waziri mkuu Tamisemi akiondolewa jijini Arusha kuanzia leo.

Juma Idd aliyekuwa mkurugenzi jiji la Mbeya amehamishiwa kuchukua nafazi ya Zipora hapo Arusha.

Katibu mkuu uchukuzi bwana Omary Chambo ameshushwa cheo na sasa atakuwa katibu tawala mkoa wa Manyara kuanzia leo.

Dr John ndunguru aliekuwa naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi nae amesgushwa cheo na kupelekwa Kigoma kuwa katibu tawala wa mkoa huo.

Uamuzi huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue usiku huu.

wanaondolewa na kushushwa cheo wale wanatoa support kwa lowassa
 
huyu ulokole unamponza. yaani ulokole na UDED NI MBINGU NA NCHI UMBALI WAKE SO NDO MAANA AMEHAMA SANA KARIBU NCHI NZIMA ALIANZIA MOSHI BAADAE MONDULI, AKAENDA MKURANGA THEN TABORA HALAFU ARUSHA IN FIVE YEARS FIVE COUNCILS KOTE HAWAMKUBALI KWASABABU ANATAKA 1+1 = 2 LAKINI WENZAKE WANATAKA 1+1 = 200
 
Kama yasemwayo ni kweli basi mama Zipora nakupa pole..ila nakuomba uongeze mapambano tu huko wizarani usirudishwe nyuma..kwa mwenendo huu sipati picha hii nchi ikichukuliwa na Mzee wa kugawa noti..marafiki zake na wafadhiri watahamia ikulu..mzee wa kyela sijui atamuhamishia wapi!!!
 
Back
Top Bottom