JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

Huyu mama wengi hawamjui vema. Nitakuja kuwapeni siri zake siku muafaka

Huyu mama ni zaidi ya jembe na power tiller! Kweli JK ana matatizo. How can he subordinate economic prosperity to personal differences? Aibu kubwa!
 
magesa muwongo kipenzi cha jk hakiguswi sio

Huyu jamaa hafai kabisa. Ana hawara yake alibishana na polisi maeneo ya TRA hapa arusha eti akatoa bastola polisi hawakuremba wakampiga ya mkono,nadhani milisikia iyo issue wakuu. Alafu ikafichwa mara ni mfanyabiashara wa mdini mara nini,akahamishwa hospital kwa siri na waandishi wakawa hawaruhusiwi ola kwakifupi anampa kiburi sana yule demu. Alikuwa anafanya kazi KIA na ndipo walipokutamia hapo.
 
Kwa Zipora Hiyo ndo siasa na hapo Tamiseni anaenda kukaa benchi
 
Kama nchi iko hiv ukisimamia kweli unaondolewa umasikini na maendeleo haya tapatikana kwa nchi wapenda maendeleo wanafungwa mdomo wakubwa watekeleze yao bora wafanikiwe yao bila kujalitaifa kwanza
 
Mama amepandisha mapato ya jiji kutoka 380m mpaka karibu B 1 kwa mwezi. Ama kweli ukiwa fisadi nchi hii una nafasi kubwa. Hivi kwa hili waadilifu tunawafundisha nini? Nao wajiunge?
 
Sijui kuna nini the untouchable kapatwa wakati Mzee bado yupo kwenye Kiti cha enzi! Au Mzee sasa kafungua sikio kwa ofisi ya CS!

Kwanini chambo mnamwita untouchable? Nifafanulieni wakuu
 
Huyu jamaa hafai kabisa. Ana hawara yake alibishana na polisi maeneo ya TRA hapa arusha eti akatoa bastola polisi hawakuremba wakampiga ya mkono,nadhani milisikia iyo issue wakuu. Alafu ikafichwa mara ni mfanyabiashara wa mdini mara nini,akahamishwa hospital kwa siri na waandishi wakawa hawaruhusiwi ola kwakifupi anampa kiburi sana yule demu. Alikuwa anafanya kazi KIA na ndipo walipokutamia hapo.

Ni kweli nilisikia huyo demu ndio Pumziko la mulongo na anampa kiburi sana huyo mulongo.
 
Hivi ule mdomo wa Mulongo nitabasamu au ndio dental formula yake ilivyo?.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
huyu mama alikuwa mkurugenzi wangu wakamuondoa kikwete akaleta mama mmoja kutoka mwanaremango ambaye hajui kazi. Sipora ni mtu wa Mungu mapepo ya ccm yanamgwaya.
 
Maccm na mulongo bado watapata shida kubwa kuiba ndani ya jiji la arusha kwani chadema wanaongeza diwani mwingine pale sombetini.Kwa mantiki hiyo hata kama mkurugenzi akiwapa sapoti hakuna kitakachopita ndani ya mhimili wa nguvu ya chadema.
 
Bi Zipora Liana ambaye amekuwa katika mgogoro wa mara kwa mara na mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa mulongo na meya wa jiji pia la Arusha sasa amehamishiwa ofisi ya waziri mkuu Tamisemi akiondolewa jijini Arusha kuanzia leo.

Juma Idd aliyekuwa mkurugenzi jiji la Mbeya amehamishiwa kuchukua nafazi ya Zipora hapo Arusha.

Katibu mkuu uchukuzi bwana Omary Chambo ameshushwa cheo na sasa atakuwa katibu tawala mkoa wa Manyara kuanzia leo.

Dr John ndunguru aliekuwa naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi nae amesgushwa cheo na kupelekwa Kigoma kuwa katibu tawala wa mkoa huo.

Uamuzi huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue usiku huu.

...

.....Udini na visasi
 
Maccm na mulongo bado watapata shida kubwa kuiba ndani ya jiji la arusha kwani chadema wanaongeza diwani mwingine pale sombetini.Kwa mantiki hiyo hata kama mkurugenzi akiwapa sapoti hakuna kitakachopita ndani ya mhimili wa nguvu ya chadema.
Naibu meya. Fisadi mkuu pale Halmashauri ni wa CHADEMA na alishirikiana na Meya Lyimo kumpiga vita Sipora. Usiandike kishabiki.
 
Ukiwa mfuata Kariba na Sheria hakika hutadumu kwenye nafasi yako ya uteule.
 
Hee heee hivi hadi

wakurugenzi anachagua rais kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom