JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

Leo watumishi mafisadi wa H/Jiji la Arusha watakesha bar kushangilia uhamisho wa huyu mama. huyu Mama alikuwa ni jembe, aliziba mianya yote ya ufisadi na ni mtu wa kufuata sheria bila kupepesa macho. hii nchi NGUMU SANA.
 
Kama ni kweli, hakika tuna kazi. Yote haya ni mulongo kwa maslahi ya mkubwa. Yana mwisho!!!

hayana mwisho......wataibuka wengine 2015 kupigania watawala wa aina hii waongoze kupitia CCM labda pale waandishi kama nyie watakapo kataa kuzibebea ngata njaa zao
 
nikiwa mimi,nang'atuka haiwezeka nmepata kuwa KATIBU MKUU nasimamia wizara.afu leo nikawe KATIBU TAWALA WA MKOA.from hero to ZERO...HATA MZEE WANGU MAOKOLA MAJOGO ALIKATAA HILI KWA VITENDO
 
zipora ni jembe sana angewapandisha chati serikali ya jk arusha sema haya mapumbavu hayafikiri maslahi ya taifa wanawaza matumbo yao akiongozwa na mkuu wa mkoa na meya pamoja na madiwani wa ccm.huko nyuma nimeshawahi kusema wanaohujumu ccm ni viongozi wa ccm na makada wao
 
Dah nilifikiri angemhamisha Molongo amwache mchapakazi wetu Zipora jaman! So sad
 
mama zipora,kwa kuifanya arusha itulie mimi kama mimi nasema kazi yako imebarikiwa,nenda uendako ila ujue kwa arusha na siasa zake wewe ndo ulikuwa dawa pale...nasema tu ubarikiwe kwa kusimamia uchaguzi wa kurudia madiwani kwa weledi wa juu bila zengwe...mh rais uyu mama usimweke mbali na ufalme wako, ni jembe...
kwa hao walioshushwa vyeo poleni,nyote si walewale?acha wafu muzikane....


Raisi ndo walewale,nimeamini
 
Leo watumishi mafisadi wa H/Jiji la Arusha watakesha bar kushangilia uhamisho wa huyu mama. huyu Mama alikuwa ni jembe, aliziba mianya yote ya ufisadi na ni mtu wa kufuata sheria bila kupepesa macho. hii nchi NGUMU SANA.

Alikuwa anamuharibia mulongo mugesa swahiba wa jk
 
mama zipora,kwa kuifanya arusha itulie mimi kama mimi nasema kazi yako imebarikiwa,nenda uendako ila ujue kwa arusha na siasa zake wewe ndo ulikuwa dawa pale...nasema tu ubarikiwe kwa kusimamia uchaguzi wa kurudia madiwani kwa weledi wa juu bila zengwe...mh rais uyu mama usimweke mbali na ufalme wako, ni jembe...
kwa hao walioshushwa vyeo poleni,nyote si walewale?acha wafu muzikane....

Tunashindwa kumwelewa Rais nadhani anafanya mipango ya kuchagua MaWaziri wapya jamani.
Ngojeni kidogo.
 
Nafikiri tunaolaumu twaweza kuwa tunakea sana maana anaweza kuwa katibu mkuu wa wizara na hivo kututumikia wa tanzania wote,kama wanaenda kumdamp basi watakua wanatumia kile kitu cha wabunge wa ccm wa dar kufikiria
 
Back
Top Bottom