MachoMakavu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 367
- 44
Mlioko Bongo vipi kahutubia?
Mie mgeni hapa mjini sijui kama amehutubia. Vipi huko Naliendele amehutubia?Mlioko Bongo vipi kahutubia?
si nitakuwa nshalewa muda huo....nitamuelewa kweli.....hooi leo.....
akigoma tunaagiza rais kutoka nje ya nchi
Mpaka muda huu nadhani Rais wetu mpendwa bado yupo kaunta anaagiza mbili tatu. Akitoka hapo anazifunga magogoni, rais mlevi na we mlevi ngoma droo.
Kwani unategemea nini cha maana kutoka kwa kiongozi dhaifu?
Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa na Rais au waliotoa taarifa hizi hawakuwa na taarifa kamili?
Au lengo ni taarifa zitolewe usiku Watanzania wengi wakiwa wamelala?
Hivi Tanzania ina mikoa mingapi? Kwa nini anahtubia wazee wa Dar tu?
Anaogopa nini kwenda Morogoro, Arusha, Mwanza, Kigoma n.k. kuhutubia wazee wa huko pia?
mkuu vumilia kusubiri, labda atahutubia kuanzia saa nane usiku huu
Teh teh teh! Ahaaaa! Kumbe anatembelea maeneo yake ya kujidai tu? Kwa hivyo abaki huko huko!labda Morogoro na baadhi ya maeneo ya Kigoma....chezeya Chugga na Rock City.....
Sasa ni saa sita kasoro robo bado tuvumilie mkuu au ndo basi?
Sasa ni saa sita kasoro robo bado tuvumilie mkuu au ndo basi?