JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

Ha ha haa, inaonekana mistari aliyotunga imegoma!
 
Ha ha haaa, labda mistari aliyotunga kuongea imegoma! Manake huwa anatoa nyimbo zinazochuja mapema!
 
Liwalo na liwe ana andaliwa chakuongea na lusinde
 
Halafu akiambiwa yeye ni rais dhaifu anaona kaonewa....
 
HBawezi kuitisha mkutano na wazee wa Dsm kutokana na kukosekana kwa fisadi mmoja aliyebobea kuwa mwenyekiti wao. Mnakumbuka last time Idi Simba alikuwa mwenyekiti lakini akavurumishwa mahakamani kwa kuwaibia wananchi hela zao.
 
Kama kweli Rais alitaka kuhutubia Taifa jana na kutuacha tukeshe bure na mwisho kuamkia Rwanda ni dharau kubwa kwa Watanzania kama mipango yake tukeshe ili tusiende kwenye ibaada basi Mungu amlaani?
 
Back
Top Bottom