Jk alizirai wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya awali, ikabidi nec wabadili mfumo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk alizirai wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya awali, ikabidi nec wabadili mfumo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwikimbi, Nov 9, 2010.

 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kumbe wakati matokeo yalipoanza kutangazwa na kuonekana jk anatupwa mbali, mkuu alizirai na kwa mara ya kwanza madaktari wake wakagundua analo pia tatizo la presha na kkisukari, ndo maana nec wakabadli mwelekeo wakachelewesha kutoa matokeo ya maeneo ya chadema na kuanza kule alikokuwa anaongoza.

  Mpaka a day before final results alikuwa anaonoza kwa 82%, kwa kuwa majimbo ya chadema hasa dsm, arsha mbeya hawakuwa wametangaza kumpooza mkuu wao.

  Onyo: Jk jiandae kwa mshangazo mkubwa siku za usoni, vijana waliofisha umri wa kupiga kura 2010 hawadanayiki. Huko songea wameasi wazee wao na wanajilaumu kwa kupoteza jimbo la songea mjini
   
 2. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,596
  Likes Received: 6,757
  Trophy Points: 280
  jamani mbona tunalishana kasa hivi hivi?
   
 3. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata yeye alikiri kwamba wapinzani wamewapelekesha puta hata wakati mwingine kufanya kazi ya ziada (kuchakachua?????)
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  JK hajawahi kushinda uchaguzi wa 2010
   
 5. M

  MOMO Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Haha...umenikumbusha enzi za mlimani (FOE)..mambo ya kulishwa KASA
   
 6. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  habari ya kufikirika
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Hata uchaguzi huu vijana wengi hawakudanganyika na ndiyo maana JK ilibidi alazimishie ushindi wa mezani...........Bila NEC kuundwa upya na kuwa chombo huru bado CCM wataendelea kuwadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kujichagulia viongozi wao wanaowapenda.........Na nchi ya namna hiyo kamwe haitaweza kuondokana na umasikini..............
   
Loading...