Elections 2010 Jk alizirai wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya awali, ikabidi nec wabadili mfumo

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Kumbe wakati matokeo yalipoanza kutangazwa na kuonekana jk anatupwa mbali, mkuu alizirai na kwa mara ya kwanza madaktari wake wakagundua analo pia tatizo la presha na kkisukari, ndo maana nec wakabadli mwelekeo wakachelewesha kutoa matokeo ya maeneo ya chadema na kuanza kule alikokuwa anaongoza.

Mpaka a day before final results alikuwa anaonoza kwa 82%, kwa kuwa majimbo ya chadema hasa dsm, arsha mbeya hawakuwa wametangaza kumpooza mkuu wao.

Onyo: Jk jiandae kwa mshangazo mkubwa siku za usoni, vijana waliofisha umri wa kupiga kura 2010 hawadanayiki. Huko songea wameasi wazee wao na wanajilaumu kwa kupoteza jimbo la songea mjini
 
Hata yeye alikiri kwamba wapinzani wamewapelekesha puta hata wakati mwingine kufanya kazi ya ziada (kuchakachua?????)
 
Onyo: Jk jiandae kwa mshangazo mkubwa siku za usoni, vijana waliofisha umri wa kupiga kura 2010 hawadanayiki. Huko songea wameasi wazee wao na wanajilaumu kwa kupoteza jimbo la songea mjini
Hata uchaguzi huu vijana wengi hawakudanganyika na ndiyo maana JK ilibidi alazimishie ushindi wa mezani...........Bila NEC kuundwa upya na kuwa chombo huru bado CCM wataendelea kuwadhulumu wapigakura haki yao ya kimsingi ya kujichagulia viongozi wao wanaowapenda.........Na nchi ya namna hiyo kamwe haitaweza kuondokana na umasikini..............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom