Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gwallo, Nov 3, 2010.

 1. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Ninamshukuru Mungu sana maana yeye si mtu hata aseme uongo. Kwa jinsi ya kibinadamu macho yangu na ufahamu unaona yafuatayo katika matokeo yanayoendelea kutolewa.

  1. Tume ya uchaguzi inataka kutupumbaza kwamba DR. Slaa hakuchaguliwa na watz.
  2. Uongo mkubwa wa kutatangazia matokeo ya kile wanachojua fika kuwa si maamuzi ya watz.
  3. Kutulazimisha kupenda mtu asiyependeka.
  4. Tume ya uchaguzi NEC na majasusi wa watz wanauwezo kumshinda muumba?
  Mara baadaya matokeo haya hatua za kuchukua.

  • Kuwa watulivu mpaka matokeo yote yatangazwe.
  • Kuendelea kumwuliza Mungu kwamba je huyu anaeyeendelea kutangazwa ndiye chaguo la watz? na kama siyo je Mungu kwa nini atuongoze? maswali na maombi yetu Mungu ATAJIBU.
  • Tusubiri tutauona mkono wa Bwana.
  Nawatakia WaJF,CHADEMA na Watanzania mafanikio katika maisha yao na Mungu atuondolee huzuni yetu ya muda mfupi wakati tunasubiri Mungu kufanya maajabu yake ili kutupa nchi yetu ya asali na maziwa.
   
 2. Sambah

  Sambah Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante wewe wajua waambie bwana ! za mwizi arobaini kaka/Dada
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  jaji makame ngozi imemkakamaa hana haya kukaa mbele ya vyombo vya habari kutangaza unafiki.
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Namwambia Makame na NEC kuwa malipo ni hapa duniani. Kuhusika kwao kwa aina yeyote ile malipo yao yapa duniani na Mungu atahakikisha wanalipa sawa na matendo yao!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  God is watching
   
 6. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  And He will work on it,as is the Righteous one
   
 7. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  MAKAME, Kumbuka malipo yako yatakuwa hapa hapa duniani, damu ya watanzania itakulilia.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mungu hamtupi mja wake malipo yake yako hapahapa
   
 9. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aiseh! haya maneno makali sana, yanatisha hata kupita porojo za shekhe Yahya, natamani Kikwete naye angeyasoma. Ghadhamu ya Mungu hakuna anayeweza kuizuia, you never know, anaweza hata akampotezea mbali ili Watanzania tujichukulie nchi yetu th! th! TH! natania tu!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  It has an end kabisa na hawajui kuwa mwisho wao utakuwa mbaya sana
   
 11. t

  time will tell Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ! Mungu, Sitaki kueleweka vibaya lakini msitegemee Mungu ndiyo ataleta mabadiliko bila kuyapigania.
   
 12. M

  Mwera JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jk na ccm wameshinda kihalal japo kunamaeneo wamechakachua ubunge,ila tukubali cc wapinzani kama hatuwezi kuungana tukasimamisha mgombea 1 ktk kiti cha urais kuitoa ccm madarakani hiyo nindoto,watatawala hata miaka mingine 20ijayo.tuachetamaa naulafi wamadaraka tuungane wapinzani,mfano mzuri nijimbo la tarime ktk ubunge kura za cuf na chadema ninyingi kuliko za ccm lakin kwavile kila1 anataka ubunge kati ya cuf na chadema ccm wameshinda
   
 13. A

  Aine JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ushindi ukiwa wa HAKI hakuna kitakachotoea
  ILA kama ushindi ni wa WIZI jamani kuweni watulivu
  MUNGU yu karibu KUTUJIBU WATAZANIA na chamoto watakiona
  WOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE waliohusika kufanikisha wizi huo
  maana inaonyesha ni mtandao mkubwa ila wasubiri MAPIGO YA MUNGU ALIYE WA HAKI
   
 14. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Niwapi dunian dhuruma ilishinda haki? Ni wapi dunian wabaya walitamba hadi wakachoka wenyewe? Hakuna. Wabaya, wadhurumaji na wababe wanamwisho wao. Siku moja wataumbuka. Manung'uniko yetu hayataenda bure. Tusubir!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  they have a have price to pay ahead
   
 16. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Maelezo yako yanapingana. Huwezi kusema CCM wameshinda kihalali na hapo hapo unakiri kuwa baadhi ya maeneo wamechakachua. Kama kuna kuchakachua hakuna uhalali.

  Kuungana siyo suluhisho la wizi maana hata mkimweka mgombea mmoja atachakachuliwa. Tunaomba utuletee ushauri mwingine lakini huu hauwezi kukubalika kwa watu wanaoelewa.
   
 17. c

  crown Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu hadhihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna. We have been fasting and praying for the election and crying to GOD to give us proper and right leaders.If they have rigged the election and if he wasnt God choice then he will not finish his reign in the next five years.Do you remember what happened to King Nebuchadzer the great?His was brought down to earth by God Himself?. Or what happened to king saul?.Kama amelazimisha na denying the tanzanians their right, believe he will have to deal with GOD Himself.Mungu hapokei rushwa na wala si fisadi.
   
 18. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kabla ya uchaguzi mulikuwa mnategemea peoplessss poweeeer!!!! baada ya kuona hakuna cha peoples sasa mnategemea mungu sio? Inamaana chadema hawana peoples power tena?
   
 19. m

  mbea Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kawadanganye mazumbukuku wasiojua ulimwengu ulivyo!Mmefulia,nani ampe urais mtaka dini?
   
 20. f

  furahi JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa matokeo haya sioni haja ya wapinzani kuungana.
   
Loading...