Elections 2010 JK 'alivyofunika' TABORA

misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee
Taratibu....CCM ndiyo imetufanya tuwe wajinga lakini si wote na ndiyo maana juzi tumemzomea na kuna sehemu hawaitaki CCM tangu upinzani uanze hawawachangui labda kwa kuibiwa mfano bariadi kwa kina Cheyo..
 
misukuma ilivyo mijinga inapiga makofiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaa iksubir..aijiuliziii alikuwa wapii miaka yoooooteeeeeeee

Pdidy,

Inabidi utuombe msamaha wasukuma. Sioni sababu ya kuwalaumu hao maskini wa mungu walioletwa na maroli, wakapewa T-shirt na khanga may be na chumvi kidogo halafu wakaahidiwa university wakapiga makofi. Hiyo ndiyo strategy ya CCM. Kama alivyosema Prof. Mtaji wa CCM ni ujinga wa watZ.

Sasa sijui utasemaje kuhusu wale walioamua hata kumpa uchifu mtoto wake???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom