JK 'alivyofunika' TABORA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK 'alivyofunika' TABORA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Donyongijape, Sep 29, 2010.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale niliyokuwa nikisoma humu na magazetini! Yafuatayo yalijitokeza

  >Yalikuwepo malori,coasters na mabasi makubwa maarufu km yaendayo mikoani yaliyokuwa yakichukua watu kutoka vijiji vya mbali na kuwaleta hapo uwanjani.

  >Mkutano ulijaa watoto na wanafunzi wa vyuo vya Uhadhiri,Ualimu,Veta etc ambao walipewa T-shets,kofia na baadaye jioni jioni nikashuhudia 'wakitolewa' na wao kujipongeza kwa bia.

  >KUBWA ZAIDI, baada ya JK kuingia mnapo saa 11.17 na kukaribishwa jukwaani,HUWEZI Amini umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka uwanjani kama vile aliyekuwa akiongea,potelea mbali ni kuwa mgombea bali ni raisi. Sababu kubwa baada ya kudadis ni watu kusema anarudirudia yale yale amabayo siku ya wanawake duniani alipokuja aliongea hayo hayo..na sera yenyewwe ilikuwa kuleta maji kutoka ziwa victoria kutokea shinyanga,barabara etc ambayo wanasema ni nyimbo za kawaida. KIFUPI HII NDIYO TOPIC KUBWA HAPA TBR KUHUSU KUKIMBIWA KWA JK.WATU WAMEMCHOKA MBAYA!

  N:B,nina picha ya matukio yote yaliyojitokeza kama vile hayo malori,mabasi makubwa na umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukitoka nje lakini bahati mbaya nmeshindwa ku-upload hapa..Kam kuna mwana JF anaweza kuzi-upload aweke e-mail yake hapa nami nitamtumia na kuzimwaga hapa.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sisinjemu haina mpya mkuu ni yale yale ya miaka arobaini na ngapi vile?by the way Slaa songa mbele nyuma waachie Sisisnjemu wenyewe...JF mwenye kuweza kuaproad jamani twazitaka hizo pics hahahahahahahahahahahahahahahahaha....

  ANGALIZO..
  SISINJEMU ni neno la kisuma na kiswahili mixed..
  SISI tunajua maana yake
  NJEMU ni bange kwa kisukuma..
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wana JF leo nimebahatika kuwa katika moja ya mikutano 'mikubwa' ya JK katika kampeni zake mikoani katika uwanja wa Alhasan Mwinyi Tabora. Lengo kubwa ilikuwa ni kujishuhudia mwenyewe yale niliyokuwa nikisoma humu na magazetini! Yafuatayo yalijitokeza

  >Yalikuwepo malori,coasters na mabasi makubwa maarufu km yaendayo mikoani yaliyokuwa yakichukua watu kutoka vijiji vya mbali na kuwaleta hapo uwanjani.

  >Mkutano ulijaa watoto na wanafunzi wa vyuo vya Uhadhiri,Ualimu,Veta etc ambao walipewa T-shets,kofia na baadaye jioni jioni nikashuhudia 'wakitolewa' na wao kujipongeza kwa bia.

  >KUBWA ZAIDI, baada ya JK kuingia mnapo saa 11.17 na kukaribishwa jukwaani,na baada ya wasanii kama Diamond,Marlow na ZEE KOMEDI kutoa shoo zao,HUWEZI Amini umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka uwanjani kama vile aliyekuwa akiongea,potelea mbali ni kuwa mgombea bali ni raisi. Sababu kubwa baada ya kudadis ni watu kusema anarudirudia yale yale amabayo siku ya wanawake duniani alipokuja aliongea hayo hayo hivyo wao wamewaona ze comedy powa2...na sera yenyewwe ya JK ilikuwa kuleta maji kutoka ziwa victoria kutokea shinyanga,barabara etc ambayo wanasema ni nyimbo za kawaida. KIFUPI HII NDIYO TOPIC KUBWA HAPA TBR KUHUSU KUKIMBIWA KWA JK.WATU WAMEMCHOKA MBAYA!

  N:B,nina picha ya matukio yote yaliyojitokeza kama vile hayo malori,mabasi makubwa na umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukitoka nje lakini bahati mbaya nmeshindwa ku-upload hapa..Kam kuna mwana JF anaweza kuzi-upload aweke e-mail yake hapa nami nitamtumia na kuzimwaga hapa.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mwaka 2000 uliahidi maji. Mwaka 2010 unaahidi maji. Wana wa nchi wakuangalie tu
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Dalili zinavyoonyesha, mwaka huu hata za kuiba hazitaibika. Maana huo mwamko uliopo kwa watu wa kijijni ambao CCM wamekuwa wakiona kuwa ni mtaji kwao usiseme! Karibu kila siku nawapigia simu home (bush) kuwajulia hali, unaambiwa sasa mabalozi wa nyumba kumi wamelezimishwa kupita kila nyumba kuandikisha kadi za kupigia kura, na kuwatishia raia kwamba wasipoipigia CCM watagundua. Lakini pamoja na hayo nasikia raia wanasema watachagua mbunge wa CCM lakini Rais wanampa Slaa. JK ana kazi kubwa mwaka huu.
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  picha kaka, chonde chonde
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  mkuu nimekutumia tayari
   
 9. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Yaani baada ya ZEE KOMEDI,MARLOW NA DIAMOND KUTUMBUIZA..WATU+WATOTO WAKASEPA,WAMEONA FIESTA LA BUREE..KWAO NDIO ILIKUWA MUHIMU ZAIDI..COZ WALIPITA MITAANI NA MAGARI YAO WAKITANGAZA UWEPO WAO ZAIDI YA JK.:becky:
   
 10. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatudanganyiki lakini kudanganya ruhsa! :becky: :becky: :becky:
   
 11. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Bwahahahaha...hongera kwa uongo na hyperboles.
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu JK kazi anayo. For sure CCM wasipofanya umaafia wa kuiba kura na tume ya uchaguzi wakatenda haki lazima adondoke tu.
   
 13. K

  Keil JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hizi picha inaonekana hazijafika kwa Invisible. Mimi ni mdau wa Tabora jamani, natamani nione ndugu zangu wanyamwezi walivyompokea mtani wao mkwere.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukiona mpaka sasa kwa michuzi hazipo ujue kuna jambo!!!!
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Gudi


  Nadhani ndugu yangu Sikonge ataungana nami kuwa wana Tabora siyo mabwege hata siku moja. Hatutoi uchifu wetu hivyo hovyo siye.
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  IMG_2108.jpg
  Mbona picha pale kwa michuzi zinaonyesa kuwa ndugu zangu walijaa sana uwanja wa Ali Hassan mwinyi, zamani tukiuta uwanja wa vita?[​IMG]
   
 17. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Navyoijua Tabora kwa kuipenda CCM, sidhani kama wameelimika kiasi hicho. Vipi upande wa ubunge, Mh Rage anagombea na nani hapo jimbon?
   
 18. K

  Keil JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Uwanja wa Vita bado upo pale pale eneo la Bachu. Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulijengwa mitaa ya Sikonge Road, ukiwa unaelekea Ng'ambu uwanja uko upande wa kulia.
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Sep 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, nimekosea kwa bahati mbaya, nilitaka kusema uwanja wa sabasaba. Siku ya kuzaliwa CCM mwaka 1977 nilishiriki maonyesho ya TYL uwanjani pale mbele ya mkuu wa mkoa wakati huo balozi Rutakyamirwa aliyekuwa amechukua nafasi ya Nsa Kaisi.
   
 20. K

  Keil JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante sana kwa kuniongezea Jiografia ya Mji wa Tabora. Sikuwa najua kama eneo hilo zama hizo kulikuwa na Uwanja wa Sabasaba.
   
Loading...