JK alidanganya- mishahara sio 15-20% increment

JK alidanganya- mishahara sio 15-20% increment

Wewe ndo muongo!no research no right to speak!kazini kwangu mshahara umeongezwa kila mtu kulingana na kiwango cha mshahara,wa chini kabisa wameongezewa 20% na kadiri mshahara unavyopanda percent inashuka hadi 15%

No be objective, hawa wanaoandika hapa wamepata salary slip zikionyesha nyongeza ya 7%. JK alisema 15-20%. Rais hupashwi kusema uongo. Lack of seriousness
 
Hapana mkuu. Kwenye mambo nyeti kama mishahara ni makosa makubwa na hatari kuingiza siasa. Rais anatakiwa kulijua hili.

Uko sahihi kabisa, the salary issue goes to the root of survival of workers/their pensions halafu unasema uongo. Nchi za wenzetu inaweza kukutoa madarakani, maana kusema uongo ni kosa kubwa sana. Unasema uongo halafu unalalamikia low/unsatisfactory delivery ya watumishi, rushwa etc. Kama rais unasema UONGO kwa nini yule asile rushwa, maana nayo ni uongo in the other form!
 
No be objective, hawa wanaoandika hapa wamepata salary slip zikionyesha nyongeza ya 7%. JK alisema 15-20%. Rais hupashwi kusema uongo. Lack of seriousness


Huyu Caesar1 amenikera sana...Anathubutu kusema eti ni uongo wakati waraka No.1 wa utumishi wa umma wa 2012 uliwekwa hapa na unasema kuwa wastani wa ongezeko la mshahara ni 15%. Angekuwa anajua hesabu basi angeweza kutambua tunayoyasema kuwa range ya JK ya 15-20% haiwezi kutupa wastani wa ongezeko wa 15%

Hata sijui watu wengine huwa wanatetea hoja kwa kutumia kigezo gani!!

Ngoja labda tumwekee ili aje na utetezi wake tumwone!
 

Attachments

Hakuna nyongeza wala nn,anaesema ameongezewa ni mbunge.
 
Halafu TUCTA ambayo inakomba pesa nyingi kutoka kwenye mishahara yetu tena kwa lazima iko kimya. Ipo siku watu wataamua kutembeza bakora kama former DC Mnare!

Ni sahihi serikali yetu haijaongeza mshahara kwa asilimia iliyotamkwa na Mh.Rais wetu.

Lakini TUCTA hivi wanafanya nini katika kupigania maslahi ya watumishi? Mimi binafsi sijaona kama wanasaidia mana hata siku moja hawajawahi sema jambo wakalisimamia mpaka mwisho na likawa na mafanikio chanya.

Mimi naona vyama vya kisekta vina msaada kiliko vyama huru vya wafanyakazi mfano chama cha madaktari, chama cha walimu wanaodai malimbikizo ya walimu n.k.

Watumishi wa umma leo hii ni mwaka wa tatu hawajapandishwa vidato vya mshahara mwaka wa fedha unapoisha na mwingine kuanza, unadhani serikali imewaibia watumishi kiasi gani ktk hilo? TUCTA wapo na wahajaliona hili kama ni tatizo? Mtumishi anatakiwa mwaka unapoisha na mwingine kuanza apande kidato cha mshahara mfano kama mwaka 2011/2012 alikuwa TGTS D1 mwaka 2012/2013 aonekane TGTS D2, lakini setikali imekuwa haipandishi tena vidato ikikwepa gharama.

Je TUCTA kazi yenu ni nini kwa watumishi au ni kupokea hundi tu za makato ya mishahara pasipo kuwatetea maslahi yao? Ng'ombe mlishe ndo umkamue bwana!!

I submit
 
Back
Top Bottom