MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Alikusudia afungiwe kwenda haja kubwa - JF is Never Boring - The BossNimesoma habari ya mtoa mada, baadhi ya maoni, majibizano, n.k., nimeendelea kuamini kuwa baadhi yetu tunatafuna viroba kabla ya kuandika.
Mfano, ukianza na mtoa mada: Hajaeleza anataka afungiwe nini; akaunti? mlango? maandazi? viatu? kuni?