Serikali ya CCM mmefanya kuuza mihogo kuwe Bora kuliko kazi ya Ualimu Nchini

Mama Naa

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
385
950
Amani iwe juu yenu.

Ni jambo la kusikitisha sana tena mnoo kuona kada ya Ualimu haithaminiwi kabisa katika nchi ya ulimwengu wa tatu.

Humu Kuna mijadala mingi kuhusu Walimu na Ualimu lakini sisi wenye ndugu na jamaa zetu huko tunapata uhalisia ulivyo. Ualimu ni kazi ya ovyo tena iliyojaa ufukara na umaskini japo ukiwa nayo itakupa ugali maharage.

Sasa hivi kazi ya kuuza mihogo imekuwa Bora zaidi kuliko kuwa mwalimu.

Nina jamaa yangu ni mwalimu, kwako yeye Kila kitu ni ovyo kuanzia kula yake, Vaa yake, bata lake, mitoko yake na matibabu yake. Hawezi kukusanya hata 2M Kwa mwaka mzima labla akakope benki. Ikitokea Kuna harusi au msiba inabidi aende Maswi au Maboto ndio apate angalau 1M ya kutatua tatizo.

Wanaousifia Ualimu aidha ni wanasiasa au viongozi au hawana ndugu Wala jamaa kwenye hiyo kada vinginevyo huwezi kuusifia Wala kuutaka Ualimu.

Upande wa pili Nina jamaa yangu ambaye alikosa ajira akaamua kujiongeza Kwa kukaanga mihogo na kachumbali pale Ilala jijini Dar es salaam eneo la mchikichini.

Jamaa anatoa matumizi yote maji, umeme, chakula, Kodi, matibabu na matumizi mengineyo yote bado Kwa mwezi analaza laki sita.

Kwa mwezi = 600,000

Kwa mwaka = 7,200,000

Kwa miaka 5= 36,000,000

Kwa hiyo nchi hii KUUZA MIHOGO na kuwa MWALIMU Bora uuze mihogo.

Nimemaliza....
 
Amani iwe juu yenu.

Ni jambo la kusikitisha sana tena mnoo kuona kada ya Ualimu haithaminiwi kabisa katika nchi ya ulimwengu wa tatu.

Humu Kuna mijadala mingi kuhusu Walimu na Ualimu lakini sisi wenye ndugu na jamaa zetu huko tunapata uhalisia ulivyo. Ualimu ni kazi ya ovyo tena iliyojaa ufukara na umaskini japo ukiwa nayo itakupa ugali maharage.

Sasa hivi kazi ya kuuza mihogo imekuwa Bora zaidi kuliko kuwa mwalimu.

Nina jamaa yangu ni mwalimu, kwako yeye Kila kitu ni ovyo kuanzia kula yake, Vaa yake, bata lake, mitoko yake na matibabu yake. Hawezi kukusanya hata 2M Kwa mwaka mzima labla akakope benki. Ikitokea Kuna harusi au msiba inabidi aende maswi au maboto ndio apate angalau 1M ya kutatua tatizo.

Acha ualimu kauze mihogo
Kama unadhani mafanikio yana fomula
 
We umelewa, kwa hiyo kusiwe na walimu? Au unatakaje? Kabla ya kuandika fikiri vya kutosha. Kwa taarifa yako mwalimu ana mshahara mkubwa ukilinganisha na kada nyingi serikalini, tofauti walimu hawana posho za vikao na waebrania. Mishahara ya serikali inaenda na hali ya uchumi wa nchi.
 
Watakuwepo tu, watoto wa maskini na wasio jiweza. Sisi mawaziri watoto wetu huwezi kuwakuta huko.
 
Mbona hili swala lipo wazi,hauhitaji fedha za kigeni wala wataalam kutoka china kulijua hili.
 
We endelea kulalamika
 
Sema mnawananga hawa Wanyonge halafu hakuna hata anayekuja na Way Out..

Mwingine atasema Wajitambue wasionewe..
Nani nchi yenu hii anajitambua haonewi?
Au mnajitoa akili tuu kujitia hamjui ni kwa namna gani unanyonywa au kutokua na haki pale ulipo na haki na huna cha kufanya?

Wengine Wanasema kazi mbaya..
Kwa hio kusiwe na Shule?

Huyo Jamaa yako Aliyetumia miaka zaidi ya 15 kusomea alichosomea akakosa ajira akajiajiri(PONGEZI KWAKE) kwenye ajira ambayo kama asingepoteza muda na mashule leo hii, usingezungumzia hio 600k, au angeenda shule kusomea anachokifanya na kuifanya kazi yake ki professional ungetaja income ya 6 digit asaivi?
Mpk hapo hujui mchawi ni nani?

Hii nchi, haijalishi unafanya nini, we share a common enemy...
Lakini kabla ya hapo umoja hakuna.
 
Hakuna mshahara unaotosha ukilinganisha muda unaofanya kazi hasa ualimu ambao unaamka saa 11 asubuhi na unarudi nyumbani saa 12 jioni harafu kitukingine haya Maisha ya chuo nayo nisababu inayotuharibu mwalimu umezaliwa kijijini umekulia kijijini umesomea kijijini fursa unazozijua sana wewe ziko kijijini unaenda chuo mjini miaka mitatu unakuja kupata ajira kijijini palipo na mazingira ulioyazoea akifika kijijini alikoajiriwa anapakataa eti kazoea mjini anaamua kukopa anunue pikipiki Ili iwe inampeleka kazini umbali wa km20 kwa Hali hii mada kama hizi hazitaisha daima
 
Amani iwe juu yenu.

Ni jambo la kusikitisha sana tena mnoo kuona kada ya Ualimu haithaminiwi kabisa katika nchi ya ulimwengu wa tatu.

Humu Kuna mijadala mingi kuhusu Walimu na Ualimu lakini sisi wenye ndugu na jamaa zetu huko tunapata uhalisia ulivyo. Ualimu ni kazi ya ovyo tena iliyojaa ufukara na umaskini japo ukiwa nayo itakupa ugali maharage.

Sasa hivi kazi ya kuuza mihogo imekuwa Bora zaidi kuliko kuwa mwalimu.

Nina jamaa yangu ni mwalimu, kwako yeye Kila kitu ni ovyo kuanzia kula yake, Vaa yake, bata lake, mitoko yake na matibabu yake. Hawezi kukusanya hata 2M Kwa mwaka mzima labla akakope benki. Ikitokea Kuna harusi au msiba inabidi aende maswi au maboto ndio apate angalau 1M ya kutatua tatizo.

Wanaousifia Ualimu aidha ni wanasiasa au viongozi au hawana ndugu Wala jamaa kwenye hiyo kada vinginevyo huwezi kuusifia Wala kuutaka Ualimu.

Upande wa pili Nina jamaa yangu ambaye alikosa ajira akaamua kujiongeza Kwa kukaanga mihogo na kachumbali pale Ilala jijini Dar es salaam eneo la mchikichini.

Jamaa anatoa matumizi yote maji, umeme, chakula, Kodi, matibabu na matumizi mengineyo yote bado Kwa mwezi analaza laki sita.

Kwa mwezi = 600,000

Kwa mwaka = 7,200,000

Kwa miaka 5= 36,000,000

Kwa hiyo nchi hii KUUZA MIHOGO na kuwa MWALIMU Bora uuze mihogo.

Nimemaliza....
Ikiboresha maslahi ya Walimu itakuwa imeboresha maisha ya wategemezi wa waalimu,kisiasa itakula kwao!
 
Serikali ya ccm rekebisheni hii kasoro vinginevyo huko mbele ipo siku moto utawaka.
 
Back
Top Bottom