Kibuyupembe
Member
- Aug 5, 2012
- 34
- 35
Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!
Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake wenzake wote wawili wamefariki duh!!
Nadhani na mwenyekiti wa AU, Bony Yayi wa Benin na Kagame wa Rwanda walikuwepo kwenye mkutano wa G8, ingiwa nchi mipango yao ya mapinduzi ya kilimo haikuvutia kama ya hizo nchi tatu zilizotajwa.