JK akikosa safari ya Ethiopia nifungieni mwezi mzima!!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu JokaKuu huo mkutano unaweza ukawepo na JK akahudhuria mazishi na mkutano. Unajua kwenye mazishi tunafanya technical appearance, haichukui siku nzima. Hivyo usiogope. Itakuwa si vyema kwa Rais kuukosa huo msiba kwa kuwa Zenawi alikuwa miongoni mwa Marais wa Africa ambao ni vipenzi vya magharibi na Jk naye ni kipenzi cha magharibi/marekani. Hivyo nadhani they had something in common especially when it xomes to African Continent Economy and prosperity. Pia Zenawi alikuwa kiongozi wa nchi ambayo ni makao makuu ya AU hivyo anatakiwa apewe heshima yake wakati wa safari yake ya mwisho akielekea kukutana na wale wanafunzi wa vyuo aliowaangamiza baada ya kupinga kuchaguliwa kwake mwaka juzi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom