Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
naomba niseme kidigo juu ya hili
mafile ya hawa wafuatao yamefikishwa mbele ya mkuu wa nchi katika kumshauri hawafai kuwa ndani ya baraza jipya la mawaziri
1. steven masele
2.charles tizeba
3. makongoro mahanga
4. kigwangala hamis
5.dalali kafumu
kama atawateua basi ni yeye kajiamulia....ila ameshauriwa na pia ofis ya waziri mkuu na spika walituma ujumbe wakimtaka rais ateue mawaziri wenye uweo kwani wengi waliopo hawana uwezo wa kukabiliana na hoja na maswali ya wabunge bungeni....
sema kiswahili tu utaeleweka mkuu