JK agoma kuzungumzia machafuko kusambaa Afrika nzima....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
katika kipindi cha television ya INITIATIVE AFRICA leo asubuhi kupitia KBC ya Kenya...............alionekana JK akiwa AU na alihojiwa na waandishi wa habari kama anaona machafuko ya kudai demokrasia na uhuru zaidi wa kiuchumi na kisiasa yaliyoanza Tunisia, Misri na kusambaa nchi za kiarabu kama yanaweza kusambaa Afrika nzima.............................Jk akiwa anaonekana mwenye ghadhabu nzito alisema.......................na ninamnukuu................................"This is out of discussion"...................................huku akipunga mkono wa kuwanyamazisha waandishi hao wa habari......................................

Are revolts really out of discussion????????????????????????
 
In the sixties, colonial power dismissed outright Indian independence to have been the wind that will sweep across Africa.......................that wind of change defied colonialists' wishful thinking ............and indeed swept across Africa.........................I see modern times colonialists in our own skin colour repeating colonial blunders of the sixties to deny historical significance of Arab revolts....................that will eventually sweep the whole African continent...........................


Matatizo yanayowakabili waarabu ni sawasawa kabisa na ya hapa kwetu........................hakuna tofauti kabisa............
 
Hapo ndipo ninapo wapenda wanahabari wanaofikiri kwa haraka.
 
hahahaha kama vile alivyoulizwa kule kwao msoga kama atashindwa uchaguzi atakubali matokeo.....alikuwa mkali huyo kama mbogo lakini mwenyewe moyoni anajua akifika hata 2012 ni bahati kwake......
"CCM ni kama mavi hawabebeki tena ukiwabeba utaishia kunuka na kuzomewa na inzi"
 
Atasema chadema wameanzisha vurugu na wamempa swali huyo mwandishi. Infact swali limemshinda coz ht kwake hakueleweki eleweki
 
Out of discusion?
Labda kuna jambo maalum walikuwa wanajadili halafu mwandishi akachomekea swali lake kuhusu fujo?:A S 13:
Wanamwonea Rais wangu Bana na Kingereza chao kigumu..
 
Hata yeye hajui kwanini Africa kuna mgogoro na anashangaa. kama vile ambavyo hajui kwanini Bongo bado masikini !!!!!!!!!!! mkwere bwana haaaaaaaaaa nilifikiri baada ya kupata dawa Loliondo atakuwa fit ndio kwanza kinaendelea
 
Kichwa cha panzi!!
Na yeye kama Gaddafi tu ana lazimisha kuwa anapendwa, hana lolote aibu....sasa alishindwa hata kufanya unafiki wake hapo?
Kweli kwa mara ya kwanza na mwisho huyu ndiye raisi mbovu kuliko woote Tanzania.....
 
Na kweli wanmuonea na kingereza chao kigumu gumu!!!

JK ni mtupu sana kwatika generak understanding!! Swali kama hilo lazima angelitarajia...
Kwa kuwa amezoa ku-deal na vitu kwa zima moto...
 
hahahahah! alitamani waandishi wa UHURU na Habari leo wangekuwepo ili waunde uongo wa kugeuza alichojibu! hahahaha kwishnei JK!
 
Jaman hivi mpaka leo hamjui kuwa kiingeredha kinapita pembeni? Na ukiwa mchafu utakuwa na nguvu gani kumnyooshea mwenzako kidole kuwa ni mchafu?
 
Back
Top Bottom