JK agoma kuzungumzia machafuko kusambaa Afrika nzima....

Yeye hakutakiwa kulikimbia hilo swali hata kidogo.wanatakiwa kufanya mambo ya mhimu sana katika kipindi hiki ili kunusuru machafuko.
 
Acha matani yako Bana.
Kama swali lilikuwa out of Discussion ulitaka akujibu nini sasa?
Hawajui kwamba Rais wetu huwa anapewa maswali kabla ya Press conference ili akariri majibu?
Wanadhani yeye ni kama marais wao wanaoweza kujibu swali lolote muda wowote?
Kwa nini hawakuja kuomba ushauri kwa waandishi wetu ili wajue namna ya kudeal naye?
Besides, nani kawapa kibali cha kumbugudhi Rais wetu wakati alienda mapumzikoni kwa kigezo cha ziara ya kikazi?
Pia unavyosema wanusuru machafuko, watayanusuru vipi wakati wapinzani ndiyo wanayasababisha?
Wanapata hela kutoka nje ili wavuruge amani ya nchi (Sofia Simba)
 
Tatizo lake ni kudesa kila kitu, hajazoea kujibu maswali kwa utashi wake.

Watakoma mwaka huu, peoples power
 
Who is this guy saying things on behalf of the Tanzanian gov't ?
 
Last edited by a moderator:
Acha matani yako Bana.
Kama swali lilikuwa out of Discussion ulitaka akujibu nini sasa?
Hawajui kwamba Rais wetu huwa anapewa maswali kabla ya Press conference ili akariri majibu?
Wanadhani yeye ni kama marais wao wanaoweza kujibu swali lolote muda wowote?
Kwa nini hawakuja kuomba ushauri kwa waandishi wetu ili wajue namna ya kudeal naye?
Besides, nani kawapa kibali cha kumbugudhi Rais wetu wakati alienda mapumzikoni kwa kigezo cha ziara ya kikazi?
Pia unavyosema wanusuru machafuko, watayanusuru vipi wakati wapinzani ndiyo wanayasababisha?
Wanapata hela kutoka nje ili wavuruge amani ya nchi (Sofia Simba)

Reb bold mkuu!! You have made my day!!! JK ni rais weak, with very low ranking IQ!! I have recently watched a clip of press conference in DAVOS this year, shame on him and all who voted him in the office!!!:hand:
 
Yeye hakutakiwa kulikimbia hilo swali hata kidogo.wanatakiwa kufanya mambo ya mhimu sana katika kipindi hiki ili kunusuru machafuko.

Walitakiwa wamuulize For North Africans was is it legitimate for peoples to overthrow their governments hapo ndipo angeona cheche, mi nafikiri hana anacho kimbia, kwani maswali kama hayo yatamfuata tu ukizingatia kauli zake na watu wake(tendwa etc..)
 
Back
Top Bottom