Kwa kweli kubishana na mataahira ya CCM ni kazi kweli ndo maana yametuharibia hata mchakato wa Katiba mpya! Wewe zumbukuku hebu sikiliza, kwa ujumla TANROADS wanasimamia barabara zenye urefu wa kama kilomita 33,800 hivi, kati ya hizo Trunk roads ni kama kilomita pungufu kidogo ya 13,000 zinazobaki ni barabara zilizoko chini ya mikoa (wanaita regional roads). Kati ya hizo trunk roads ni kilomita 5,000 na mamia kidogo tu ndo ziko paved, zingine zinazobaki ni unpaved (yaani kati ya 7,000km). Sasa unaposema Kikwete atatuachia 11,000km zinatoka wapi? Basi tuseme barabara zote kubwa zitakuwa zimewekewa lami, kitu ambacho siyo rahisi kama unavyofikiria na ki-degree chako uchwara cha Newman College!! Jiridhishe mwenyewe kwenye hizo attachments nilizokuwekea ili uone hizo 11,000km zinapatikana au la? Jumlisha miradi yote iliyokamilika na inayoendelea pamoja na ile ambayo iko kwenye pipeline. Pia na zile kilomita zilizokuwa zimeanza kujengwa wakati wa Mkapa tumempa huyo ndugu yako ili angalau aonekane amejenga nyingi basi!!
Haa ha.... watanzania hawajajifunza sana namna ya kupima vitu....Kinachotokea Tz sasa hivi kinatokea duniani kote..even countries with no fuctioning govern see massive construction projects .....JK has to prove that he has manged to go further that countries with no functioning government and natural resources like ours ...otherwise hata tusingekuwa na rais nchi ingejengwa tena kuliko sasa hivi..JK kasimamisha miradi mingi sana ..ktk sehumu nyingi TZ....this is a president who will leave this country as divided as ever before....with no legacy of his own at all...even mzee Mwinyi was far better than JK....This country will live to remember JK as an engineer for impunity and nepotism in TZ.....These are things he will be remembered for.....I pity him......
What is wrong if he managed to implement successfull what was planned by Mkapa regime,suppose if he shelved what was planned by Mkapa?
kwa hiki ulichoandika tupo pamoja kabisa kwa 100%. labda tu nikuambie hata hizo barabara zilizojengwa kipindi cha mkapa kulikuwa na rushwa za kutosha tu. kama wewe ni mtu wa umri wangu basi utakuwa unakumbuka ishu ya nalaila kiula kipindi akiwa waziri wa ujenzi. katibu wake alifungwa miaka 3 kwa rushwa kwenye barabara ya Dar-Arusha. kiukweli ni kwamba ccm inatakiwa itoke madarakani. yaani hata mtu anayeipigia kura ccm kweli kama anajielewa basi atakuwa na kitu ambacho hakiko sawa, japokuwa kwa upande mwengine na shindwa kumlaumu kwa 100% kwa sababu hata hao wapinzani ni njaa tu, hamna lolote. Binafsi sina maendeleo yoyote maana asilimia kubwa ya kipato changu wanachukua ndugu zangu ambao umasikini na ujinga wao umesababishwa kwa asilimia kubwa na ccm. kwa kifupi tuna safari ndefu sana huko tuendako kama hatutajitambua wajibu wetu.
kwa kukuonyesha tu upo mweupe, ni kuwa barabara za taifa na za mikoa zinazosimamiwa na TANROADS zina jumla ya urefu wa KM 84, 000. mkuu unaonekana hujui chochote. ni vizuri ukauliza. mfano barabara ya arusha minjingu ilijengwa kipindi cha mkapa, sasa hivi imebomolewa yote na inajengwa, uliza waliowahi kupita huko siku za hivi karibuni au barabara ya kutokea korogwe kwenda moshi. na nimiradi michache ambayo ilikuwa kwenye transition kama wa dom-manyoni lakini angalia hata sehemu kubwa ya hiyo miradi imejengwa kipindi kipi. najua unaednelea kunijibu ili uendelee kupata shule. ni jambo zuri na unaonekana ni mwanafunzi mzuri. endelea,
Southerners mighty have gas but mojority of them do not have basic secondary education ,I wonder how would they be absorbed in the labour market
who is this guy he deserves my ID
nimekuambia mtandao wa barabara za national na regional ni km84,000. sasa tangu lini bavicha akajua mambo ya maana zaidi ya umsukule na matusi?Shida yako wewe mbwiga hujui kutofautisha, kwa ufinyu wa uelewa wako unafikri Barabara zote nchi nzima ziko chini ya TANROADS! UVCCM bwana! Eti 84,000!!! Kwa taarifa yako minjingu - Arusha imejengwa wakati wa Mwinyi, usipotoshe! Jaribu kuuliza hata kwa yule jirani yako anayekugongea mkeo!