Elections 2010 JK aende wapi baada ya October 31?

Wee yule alikuwa mkulu bwn! Nimepata tetesi kuwa dr.SLAA amemwombea postgraduate ya Finance pale IFM tarehe5 november anaanza lecture,si unajua ana pass ya bachela udsm,baadae ataenda masters ya Economics, scholarship iko tayari kwenye open university moja Swazland au Iran,akihitimu basi mana p.h.d ameshapewa kwenyd gift paper, afu baadae atarudi kuisaidia Chadema kutimiza kipau mbele cha pili kukuza uchumi baada ya elimu. Ni mtu muhimu sana ww!
HATA KAMA HIYO INGEKUWA KWELI BADO ASINGEWEZA kichwa cheupe hafundishiki.
 
Back
Top Bottom