Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.

jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.

Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).

na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.

ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?

Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.

Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.

aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.

I mean no malice to nobody

View attachment 2972996
si kila mtoto wa mtaani unaemuona hatunzwi!!
Wengine n wale walioshindikana!! hataki shule hatak kazi hatak kufuatiliwa hatak adhabu anakimbilia mtaani
 
Hapana sio hiyo,unapenda kuzozana kijana.....kama hujaiona ndio basi hivyo ila ni ya jirani nimeazima nijifunzie kucharaza maneno kwa kicharazo chake maana nasikia wacharazaji vidole vyao ni hatari sana kuchezea ikulu za warembo.
Aisee now I can see the real work of the devil😆.
Una waza ikulu za Wanawake, akati uli sema we ni cousin wa Jesus 😆.

Una sahau Jesus died as a virgin 🤣
 
your brain has two sides, Left and right.
In the left there is nothing right, in the right there's nothing left😂😁
With a face like yours ya kulialia uji🤣who needs brains?But at least you make a good pair ..... your looks and wits yenye imerojeka kama uji
 
Back
Top Bottom