Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Equation x badala ya kuhamasisha ujinga, kihurumie kizazi kijacho.
Screenshot_20240424-210447_1.jpg
 
Ni idea, once it's hooked in the brain haiwezi kuwa eradicated kirahisi.

Sasa wabongo tuna fikiria ngono, badala ya big change zenye manufaa au impact nzuri.

Upo sahihi .

Wabongo hatuna mwanga wa AKILI
Enlightenment

Baada ya kutafakari kwa kina nilipata revelation kuwa binadamu huwa haongozwi na macho ya nyama Ila anatumia ubongo kwenda mbele.

Hii nilikuja kuthibitisha kwa kipofu mmoja ambaye namfahamu maisha ameyapangilia vizuri na anaelewa mambo mengi Sana.

Hii maana yake Kama hauna mwanga wa akili unakuwa upo kwenye hatari na unaweza kuwaza ngono tu.

Inafikirisha Sana mkuu
 
Hatari sana, hapa ni kutengeneza bomu litakalo lipuka popote.

Maana hao watoto lazima watafute njia ya kusurvive, wakiwa majambazi tusi lalamike.
 
kumwaga nje mnashindwa ndio wao waweke vizuizi?
Madam hao mabinti wachukue hatua pia, huwezi lazimishwa kuchanua miguu kizembe zembe.

Akati huoni a real working plan ya malezi au future yenu.

Na ukute binti nae ni machepere, kutwa kuranda na kiji sketi huyu una mzungumzia vipi🤔??
 
Yaan Bora mkuu umeamua kuwachana tu masela maana daaa wanaume tumezidi aisee alafu unakuta kbs kijana lizima linajisifu mm na wtt watatu Kila mmoja na mamaake na wt wako huko Kwa mama zao 🤭..
Kuna Jamaa namjua na watoto zaidi ya 13 na wote mama tofauti.
Huwa namtizama na kuwaza ana jisikiaje??.

Maana watoto ndala tu kupata ni kasheshe.
 
Back
Top Bottom