theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,732
Mkuu sasa kwa hali hii mbona utajishushia credibility kubwa uliyoijenga miaka kibao humu! View attachment 1027333
Sent using Jamii Forums mobile app
bora wa CCM kuliko wa chadema😕😕😕Mtabakia hivyo hivyo ma laymen ya CCM until a national anthem is sung
Sent using Jamii Forums mobile app
hana lolote acheni kudanganyana yeye na ansert hawana tofauti😕Mie mwenyew niliambia kuhusu chahali nikabaki nasisimka tu..huyu wanamdharau tu...lol😷
Nasikia alizima kanisani waumini wakachimbiwa mkwaraNondo za Lissu zimemficha..
Jumapili hii anaweza ibukia Kanisani
Mbona unashangazwa na jambo unalolifahamu wewe kapusaInashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??
Kaka wa USADI UPOOOO!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] NILIONGEZA NENO JIPYA HILI KUTOKA KWENYE MAKALA YAKO ILIYOHUSU MASUALA YA UCHAGUZI WA 5015. USADI=KUMSAPOTI MTU KISIASA KWA KUSHAWISHIWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Sasa kama humjui Jiwe umejuaje mleta mada ametumia lugha ya kihuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jasusi Chahali....hivi kazi ya ujasusi ina mafunzo ya uganga wa kienyeji na kupiga ramli pia? I see it all over the faces of spies I meet. Wanaamini wanajua kila kitu na wanashikilia mustakabali wake pia, hata kama wamechoka hohe hahe
Hivi Tundu Lissu alimiminiwa risasi 38 saa 8 usiku ???mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
jamani tuwe wakweli hivi kama kweli kama serikali ingevifunga mdomo vyombo vyo habari hivi tungekuwa na uhuru wa kujadiliana humu na kuisema serikali? tuachaneni na mijitu kama kina Chahali lowezi la ulaya ambalo limekata tamaa ya maisha,Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapiga ramli chonganishi....Nakubaliana naweHv watu wote mnakaa mnamuamini chahali mtu wa kitengo hata mkorofishe VP hawez mwaga mchele kihasara watu kama chahali wakitekwa hata mwanamke wanamwaga kila jambo LA kitengo ni mtu wa kuotea jambo na kutaka kufahamu kitu kutoka kwa watu ili apate ABC ya jambo husika
Inashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??
jamani tuwe wakweli hivi kama kweli kama serikali ingevifunga mdomo vyombo vyo habari hivi tungekuwa na uhuru wa kujadiliana humu na kuisema serikali? tuachaneni na mijitu kama kina Chahali lowezi la ulaya ambalo limekata tamaa ya maisha,
Hayuko Finland inasemekana yupo Scotland.mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Evarist,Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu Vinne visivyo shiba kamwe naam vitano visivyo sema basi
Kuzimu
Tumbo lisilo zaa
Nchi isiyo shiba maji
Moto usio sema basi na
Upinzani uchwara wa Tanzania walahi
Wataangamia wote wao na vizazi vyao milele kama watoto wa Kora kule Jangwani waliko mpinga Nabii wa Mwenyezi Mungu Mussa
Jiandaeni maana mmekwisha kabisa walahi
In Goddess Isis voice
Sent using Jamii Forums mobile app