JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Wakuu heshma yenu,
kama nilivyoahidi wakati naondoka arachuga kuwa ntarudi wakati umewadia kesho ntakuwa arusha for more ten days, hope kwa wale watakaopata nafasi tutawasiliana na kuonana na kubadilishana mawazo ya hapa na pale wakati mbuzi anashushiwa na kinywaji
Pamoja daima
Jiwe
CC PakaJimmy,Arushaone, Filipo, Mr Rocky Erickb52 Tonykp Mzee wa Rula,Mungi
Preta sweetlady Blaki Womani, Lily Flower, marejesho Passion Lady na wengineo wote

Alaf nina wasiwasi na wewe na hizi safari zako unazo zifanya kuziwekea part kama bongo movie! Na kutahdharisha ukimsogelea my akanana Passion Lady hata sisimizi hawato salia kwenu! Safari hii lazima nikuzuie pale segera haiwezekani!
Twakuombea salama na baraka za Mungu mwenyezi.Be a good boy. Tuombe
............
Baba katika jina la Yesu..namkabidhi Jiwe Linaloishi mikononi mwako..Naomba ukamlinde katika safari yake na muda wote atakuwa huko..Umjalie kibali katika kazi yake..Katika jina la Yesu ninakemea roho zote za yule ibilisi..Baba uilinde na familia yake pia na kwa damu ya Yesu wakapate ulinzi wako..
Katika Jina la Yesu nimeomba..Ameeen.
mmmmh,
unakumbuka shuka asubuhi?????????
Msigombane.....mmoja aje kwangu