leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 829
- 376
Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy.
Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd world countries) kuweza kulipia hizi services. Unakuta kuna series unataka kuangalia na ipo Netflix. Nyingine ipo Hulu na nyingine ipo Disney na ya mwisho ipo Apple TV. Ukiangalia bei wanazotaka (kuanzia dollar nane au elfu ishirini for 1080 quality) kwa kila streaming service, unapata ugumu kuzitumia.
Leo ningependa kuelekeza jinsi ya kujitengenezea streaming service yako mwenyewe nyumbani ambayo itakuruhusu kuangalia movies na series kutoka kwa electronics tofauti nyumbani bila kushinda ukihamisha hamisha files, USB's and so on.
Kuna baadhi ya vitu nita ruka maelezo on the assumption ya kuwa unayajua haya mambo, but kama una swali zaidi, uliza hapo chini na pia my DM is always open 😊.
Pa kuanza...
Kuna vitu vitatu vya muhimu ili uweze kupata local server iwe up and running.
Binafsi natumia a custom Ryzen PC ambayo ina 1060. Sio lazima iwe a powerful PC, hii ilikuwa PC yangu ya zamani na nilivyo upgrade, ikawa haina kazi. An i5 desktop ya 8th gen, haswa zile SFF (small form factor, vidogo vidogo hivi) inafaa kabisa na hazitumii umeme sana. Ya kwangu inatumia approximately 500tshs kila siku (elfu kumi na tano kwa mwezi), ila najua kuna uwezekano wa kuwa na utumiaji wa umeme mdogo zaidi, hapa nawaachia wataalam kama Chief-Mkwawa . Unaunganisha na monitor ambayo unazima unless kuna files you're copying, marekebisho madogo madogo and so on.
Hata laptop inafaa kabisa, cha msingi ni kwamba hii mashine lazima iwe on kila muda unaitumia. Kwa desktop ndogo ndogo, tegemea kutumia around unit mbili kwa siku (around 300tshs) keeping it on all the time. Unaweza kutumia apps kuizima muda hutumii (more on that later), but kwa sasa tunatembea kwa mawazo kwamba upo na familia na sio wewe tu unatumia pekee na basi inabaki always on.
Kikubwa kwenye PC ni lazima uwe na storage ya kutosha. Server yako ndio itakuwa inahifadhi kila content ya hapo nyumbani. Kuna storage options nyingi, hili sitongelea sana. Binafsi natumia external G-Drive ya 12TB kwasababu ilikuwa bei chee muda nilikuwa natafuta more storage.
Plex Link
Once una Plex kwenye Server yako, ni jambo tu la linking the devices pamoja ili Plex kwenye TV, Simu etc, zijue zinatoa media kutoka wapi.
Kuna baadhi ya alternatives kama Kodi, Jellyfin na Embry, lakini kwa zote nimejaribu, nimependa kutumia Plex miaka yote.
Ili devices zako ziweze kuwasiliana, ni lazima pawe na router. Plex pia inahitaji internet ili iweze kutengeza folder art, reviews and so on. Kwenye hili jambo inatumia mbs ndogo sana.
Cha msingi cha kujua hapa ni kwamba as long as all your devices zipo on the same network, hautatumia data au bundle unalolipia kwenye streaming maana utakuwa unafanya LAN (local area network) access. Pia, hata kama hutumii internet, kwa jinsi Plex imekuwa developed, internet speeds zako will affect quality. Uzuri ni kwamba unahitaji tu kama 5mbps ili uweze stream 1080 on one device. Mkiwa mna stream wengi at the same time nyumbani, utahitaji better speeds (local ISPs kama Voda na Tigo wana bei che sana kwa speeds kama 30mbps, kumbuka, hamna usage as long as ni local streaming).
Mpaka hapo upo tayari kuanza kuangalia content kwako bila kulipia Netflix, Hulu, Aplle TV na kadhalika. Unaweza kutoka na kulipa mtu akuwekee movies kwenye flash alafu uhamishie server yako, lakini tayari una vifaa vyote mwenyewe ndani. Hatua zinazofuata ni optional, ila naamini zinasaidia experience zaidi ya local steam.
Kama utakuwa unatumia zaidi ya device nne at the same time, aim for an i7 PC at least ya 10th gen iliyo na dedicated GPU(kuna a lot of nuances hapa, I will leave it at this).
www.plex.tv
Hizi sites hupigwa sana vita na kampuni za filamu ulaya na mara kwa mara utakuta domain imebadilika. Nitajitahidi update hizi any time kuna changes.
Hii ndio website nzuri kwa kupata latest series. Hawa ni release group (watu wanaoshusha vitu from streaming services alafu package it for piracy) wa TV series na ndio the best place ya kupata series latest zinazotoka Netflix, Apple TV na wengine. Episode mpya ikitoka (especially popular ones) una uhakika wa kupata hapa kwanza. Hapa ni sehemu ya TV series pekee.
eztvx.to
YTS, kama website ya hapo juu pia ni release group. Movie nyingi utakutana nazo mtandaoni zinatoka kwao kwanza. Hii ni website ya movies only.
yts.mx
Hii ni mojawapo ya pirate sites za kwanza na ya siku nyingi. Hapa ndio utakuta Movies, Series, Games, Apps, Books na vingine kibao mtandaoni. Kwa website zinazopigwa vita na kurudi, piratebay inaongoza.
Niliacha kuangalia Anime baada ya chuo, but I won't judge kama unaangalia 😅.
Hizi hapa ni za random ambazo unaweza kutumia ukikuta nilizotaja hapo juu hazina unachotafuta (very rare) au hazifanyi kazi, au hujapenda interface.
kaido.to
https://rutracker.org/forum/index.php (hii ni ya kirussia lakini possibly bigger than pirate bay, deserves an honourable mention)
Kwa kutumia zile links hapo juu, unaweza kushusha movies na series zote unahitaji (other than African content kwa sababu hatuna dedicated release groups huku). Sites zote nilizokupa zinatumia torrent files. Torrents zinatumia system ya P2P. P2P inamaanisha Peer to Peer, na maanake ni kwamba baadala ya mtu kuweka file sehemu ya hosting (mfano google drive), anakuwa anakupa connection ya moja kwa moja kutoka kwenye PC yake.
While kuna websites nyingi za direct downloads from hosted sites, huwa napendelea Torrents kwa sababu ya vitu vichache. Cha kwanza ni kwamba as long as kuna mtu mmoja ana file unayotaka kwenye PC yake, hiyo torrent file ina uwezo wa kushshushwa, tofauti na hosted files ambazo zinakuwa rahisi kufungiwa na kutolewa mtandaoni, haswa hizi za piracy.
Cha pili ni kwamba ni rahisi kupewa kirusi kwa kutumia direct links. While wazungu wanatishia sana kwamba pirating ina virusi balaa, ukweli ni kwamba ukitumia proper websites za piracy, ni ngumu sana sana kupata kirusi. Kuna namna nyingi za kujua fake torrents nitaongelea kwenye nyusi nyingine.
Cha kwanza ni kutengeneza folder tofauti za content zako tofauti ili uisadie Plex kuzipanga. Ukiwa na folder ya movies na kuweka movie zote mle ndani kisha kuelekeza Plex kwamba hiyo directory ni ya movies, basi hata kama haitambui hiyo movie (maybe ni ya kibongo), itaiweka na movies zingine. Plex ina uwezo mzuri sana wa kuidentify media, lakini kuna muda inakosea na kwa kufanya hivi, unahakikisha media yako imekaa sawa.
Cha pili ni kuhakikisha file name ya movie na series zako zimekaa sawa. Release groups (wanao rip media from streaming sites) wana style tofauti ya kuzipa media majina na kuna muda haya majina yanaweza kuchanganya Plex na ikashindwa kujua ni kitu gani. Kwano unaweza kuta movie imeandikwa The.Accountant.2.2025.2160p.AMZN.WEB-DL.DV.HDR10+.DDP5.1.Atmos.H265.MP4-BTM. Cha kufanya hapa ni kubadilisha jina kuweka "The Accountant" (obviously bila mabano). Sababu ya wenye kupandisha movie mtandaoni kuzipa majina kama hayo ni kwasababu wanataka kuweka as much information as possible. Mfano hiyo Accountant wanataka ujue ni 2k quality, ni Amazon Webrip version, ina support HDR10 na audio ya Atmos.
Hii itasaidia sana indexing ya media zako. Wabongo wengi sisi sio wataalam sana wa kiingereza, ukiwa huna uhakika na jina la movie au TV series, tafuta Google search then tumia copy+ paste. Pia itasaida kwa Icons (more on that hapo chini).
3b) Folicon
Baada ya kushusha na ku rename and sort media yako into different folders, Plex itakupangia media yako vizuri sana kwenye media devices zako kama TV vile.
ila kwenye PC zitakuwa zimekaa hovyo. Zamani nilikuwa natafuta album art mwenyewe mtandaoni lakini kuna zingine nikawa sipati na ninavyoendelea kushusha media nikawa nazidiwa. Program ya Folicon inasaida sana kwenye hili jambo.
Ukiwa umezipa file zako majina sahihi, inakutafutia album art na kuzieka automatically. Inafanya media server yako inapendeza.
Conclusion.
Kuna baadhi ya vitu sijaongelea ili kupunguza urefu wa nyuzi kama segregated folders (kama hutaki kila mtu aone p*rn videos ulizo nazo), multiple users ili kila mtu aweze track anachoanglia, remote streamin na mengine.
Ila haya niliyoweka yanatosha kabisa kuanza na kwenda mbali na your own home streaming network. Kuna ubunifu kidogo unahitajika mwanzo lakini naamini kwamba ni worth it kuwa na server yako nyumbani na kupunguza uhitaji wa kufata movies na USB au hata vingamuzi.
Kwa mwenye maswali, please uliza, I love sharing knowledge.
Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd world countries) kuweza kulipia hizi services. Unakuta kuna series unataka kuangalia na ipo Netflix. Nyingine ipo Hulu na nyingine ipo Disney na ya mwisho ipo Apple TV. Ukiangalia bei wanazotaka (kuanzia dollar nane au elfu ishirini for 1080 quality) kwa kila streaming service, unapata ugumu kuzitumia.
Leo ningependa kuelekeza jinsi ya kujitengenezea streaming service yako mwenyewe nyumbani ambayo itakuruhusu kuangalia movies na series kutoka kwa electronics tofauti nyumbani bila kushinda ukihamisha hamisha files, USB's and so on.
Kuna baadhi ya vitu nita ruka maelezo on the assumption ya kuwa unayajua haya mambo, but kama una swali zaidi, uliza hapo chini na pia my DM is always open 😊.
Pa kuanza...
Kuna vitu vitatu vya muhimu ili uweze kupata local server iwe up and running.
1. PC
Ili uwe na media server lazima uwe na "server" kwanza, ama sehemu ya kuhifadhi content. Kama una computer ambayo unatumia kila siku na huizimi, unaweza kuitumia hii kama server. Ushauri wangu mkubwa ni kununua a dedicated computer ya kuacha always on.Binafsi natumia a custom Ryzen PC ambayo ina 1060. Sio lazima iwe a powerful PC, hii ilikuwa PC yangu ya zamani na nilivyo upgrade, ikawa haina kazi. An i5 desktop ya 8th gen, haswa zile SFF (small form factor, vidogo vidogo hivi) inafaa kabisa na hazitumii umeme sana. Ya kwangu inatumia approximately 500tshs kila siku (elfu kumi na tano kwa mwezi), ila najua kuna uwezekano wa kuwa na utumiaji wa umeme mdogo zaidi, hapa nawaachia wataalam kama Chief-Mkwawa . Unaunganisha na monitor ambayo unazima unless kuna files you're copying, marekebisho madogo madogo and so on.
Hata laptop inafaa kabisa, cha msingi ni kwamba hii mashine lazima iwe on kila muda unaitumia. Kwa desktop ndogo ndogo, tegemea kutumia around unit mbili kwa siku (around 300tshs) keeping it on all the time. Unaweza kutumia apps kuizima muda hutumii (more on that later), but kwa sasa tunatembea kwa mawazo kwamba upo na familia na sio wewe tu unatumia pekee na basi inabaki always on.
Kikubwa kwenye PC ni lazima uwe na storage ya kutosha. Server yako ndio itakuwa inahifadhi kila content ya hapo nyumbani. Kuna storage options nyingi, hili sitongelea sana. Binafsi natumia external G-Drive ya 12TB kwasababu ilikuwa bei chee muda nilikuwa natafuta more storage.
2. Plex
Plex ndio app ya kuweza stream content from our PC kwenda kwa devices zingine kwenye nyumba yako. Kila kifaa utatumia kuangalizia content lazima utaweka Plex. Smart TVs, PCs, Smartphones na Tablets zina native apps, ni installation ya chap. TV ambazo sio smart na projectors unaweza kutumia vifaa kama chromecast ama Roku stick.Once una Plex kwenye Server yako, ni jambo tu la linking the devices pamoja ili Plex kwenye TV, Simu etc, zijue zinatoa media kutoka wapi.
Kuna baadhi ya alternatives kama Kodi, Jellyfin na Embry, lakini kwa zote nimejaribu, nimependa kutumia Plex miaka yote.
3. Router and Internet
Ili devices zako ziweze kuwasiliana, ni lazima pawe na router. Plex pia inahitaji internet ili iweze kutengeza folder art, reviews and so on. Kwenye hili jambo inatumia mbs ndogo sana.
Cha msingi cha kujua hapa ni kwamba as long as all your devices zipo on the same network, hautatumia data au bundle unalolipia kwenye streaming maana utakuwa unafanya LAN (local area network) access. Pia, hata kama hutumii internet, kwa jinsi Plex imekuwa developed, internet speeds zako will affect quality. Uzuri ni kwamba unahitaji tu kama 5mbps ili uweze stream 1080 on one device. Mkiwa mna stream wengi at the same time nyumbani, utahitaji better speeds (local ISPs kama Voda na Tigo wana bei che sana kwa speeds kama 30mbps, kumbuka, hamna usage as long as ni local streaming).
________________________
Mpaka hapo upo tayari kuanza kuangalia content kwako bila kulipia Netflix, Hulu, Aplle TV na kadhalika. Unaweza kutoka na kulipa mtu akuwekee movies kwenye flash alafu uhamishie server yako, lakini tayari una vifaa vyote mwenyewe ndani. Hatua zinazofuata ni optional, ila naamini zinasaidia experience zaidi ya local steam.
1. Website Links
Ili uweze kujiwekea movies na series, ni muhimu kujua pa kuzipakua. Hapa pia nitataja baadhi ya website links muhimu kuwa nayo.a) Plex Link
Kila ukiunga device mpya kwenye account yako, unapata key ya kuweka ili Plex ijue ni wewe unatumia. Hii ni kama 2FA, lakini kazi yake ni kuunganisha account na device. Unaweza kuunganisha hadi device mia tofauti, lakini kila device inayokuwa ina stream at the same time inahitaji more processing power from the PC na bandwith zaidi.Kama utakuwa unatumia zaidi ya device nne at the same time, aim for an i7 PC at least ya 10th gen iliyo na dedicated GPU(kuna a lot of nuances hapa, I will leave it at this).
Link
b) Download Sites
Lazima upate media mahali, na uzuri ni kwamba Africa hatuna vitu kama Digital Millennium Copyright Act (DCMA), ambayo ni sheria ya kuzuia kushusha na kugawa media za watu mitandaoni. Hili linatokana na kuwa streaming services na kampuni za filamu hazitoi ushuru kwa serikali zetu na basi hawawezi kuwaomba kuzuia mambo kama haya. This may change one day in the future, but kwa sasa tuenjoy.Hizi sites hupigwa sana vita na kampuni za filamu ulaya na mara kwa mara utakuta domain imebadilika. Nitajitahidi update hizi any time kuna changes.
i) EZTV
Hii ndio website nzuri kwa kupata latest series. Hawa ni release group (watu wanaoshusha vitu from streaming services alafu package it for piracy) wa TV series na ndio the best place ya kupata series latest zinazotoka Netflix, Apple TV na wengine. Episode mpya ikitoka (especially popular ones) una uhakika wa kupata hapa kwanza. Hapa ni sehemu ya TV series pekee.
EZTV - TV Torrents Online Series Download | Official
EZTV, your one stop source for all your favorite TV shows. FREE downloads! Watch more TV Series than ever. EZTV is releasing daily new episodes. SAFE!
ii) YTS
YTS, kama website ya hapo juu pia ni release group. Movie nyingi utakutana nazo mtandaoni zinatoka kwao kwanza. Hii ni website ya movies only.
The Official Home of YIFY Movies Torrent Download - YTS
The official YTS YIFY Movies Torrents website. Download free yify movies torrents in 720p, 1080p and 3D quality. The fastest downloads at the smallest size.
iii) The Pirate Bay
Hii ni mojawapo ya pirate sites za kwanza na ya siku nyingi. Hapa ndio utakuta Movies, Series, Games, Apps, Books na vingine kibao mtandaoni. Kwa website zinazopigwa vita na kurudi, piratebay inaongoza.
Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site
Download music, movies, games, software and much more. The Pirate Bay is the galaxy's most resilient BitTorrent site.
thepiratebay.org
iv) Nyaa
Niliacha kuangalia Anime baada ya chuo, but I won't judge kama unaangalia 😅.
v) Others
Hizi hapa ni za random ambazo unaweza kutumia ukikuta nilizotaja hapo juu hazina unachotafuta (very rare) au hazifanyi kazi, au hujapenda interface.
Kaido - Watch Anime Online Free
Kaido is a Free anime streaming website which you can watch English Subbed and Dubbed Anime online with No Account and Daily update. WATCH NOW!
https://rutracker.org/forum/index.php (hii ni ya kirussia lakini possibly bigger than pirate bay, deserves an honourable mention)
2. Download apps
Kwa kutumia zile links hapo juu, unaweza kushusha movies na series zote unahitaji (other than African content kwa sababu hatuna dedicated release groups huku). Sites zote nilizokupa zinatumia torrent files. Torrents zinatumia system ya P2P. P2P inamaanisha Peer to Peer, na maanake ni kwamba baadala ya mtu kuweka file sehemu ya hosting (mfano google drive), anakuwa anakupa connection ya moja kwa moja kutoka kwenye PC yake.
While kuna websites nyingi za direct downloads from hosted sites, huwa napendelea Torrents kwa sababu ya vitu vichache. Cha kwanza ni kwamba as long as kuna mtu mmoja ana file unayotaka kwenye PC yake, hiyo torrent file ina uwezo wa kushshushwa, tofauti na hosted files ambazo zinakuwa rahisi kufungiwa na kutolewa mtandaoni, haswa hizi za piracy.
Cha pili ni kwamba ni rahisi kupewa kirusi kwa kutumia direct links. While wazungu wanatishia sana kwamba pirating ina virusi balaa, ukweli ni kwamba ukitumia proper websites za piracy, ni ngumu sana sana kupata kirusi. Kuna namna nyingi za kujua fake torrents nitaongelea kwenye nyusi nyingine.
a) qBittorent
ili uweze kutumia torrent, lazima uwe na program inasoma torrents kama vile word inasoma documents. Kwa zote, hii ndio the best na simple. Unaishusha tu, install na kuanza kuitumia.b) SoulseekQT
Hii ni kama qBit lakini haitumii torrents. Inatumia mfumo wa P2P na sana sana wanatumia wazungu kwa mambo ya mziki, lakini kwa movies na series umekosa mtandaoni, hii ndio the best place pa kutafuta. Ina a bit of learning curve na sio simple kama qBit ama other torrent programs, lakini ni ya muhimu sana kupata vitu umekosa sehemu nyingine.3. File Managaement
Umeshusha movie zako na series, ama umecopy kwa msela, ama umenunua kwa wauza movie. Vyovyote vile, ni muhimu sana kuwa na proper file management ili upate the best experience kutoka kwa Plex.Cha kwanza ni kutengeneza folder tofauti za content zako tofauti ili uisadie Plex kuzipanga. Ukiwa na folder ya movies na kuweka movie zote mle ndani kisha kuelekeza Plex kwamba hiyo directory ni ya movies, basi hata kama haitambui hiyo movie (maybe ni ya kibongo), itaiweka na movies zingine. Plex ina uwezo mzuri sana wa kuidentify media, lakini kuna muda inakosea na kwa kufanya hivi, unahakikisha media yako imekaa sawa.