Daaa aisee kuna ka ukweli hapa,kuna challenge hapa Pia
,coz za science ni uhakika wa Maisha yaani ajira, ila kupato chake ni kidogo au cha kusotea,kozi za biashara ikikupata kwenye anga zako duuu unatoka na mshahara unaoeleweka,
Pia hizi kozi ni za Msimu,sasa hivi Science pay Much,ila baada ya Miaka 5 Mbele duu,Kozi za biashara wanaweza nao kutoka tena sana tuu,miaka ya 2000-2010 kozi za biashara na Arts zilifana sana Kama Hr,Uhasibu,ugavi,usafirishaji,nk 2010-2015 duu hoi,science ndo zinafana,nime predict 5 ijayo kwa sababu ya miradi ambayo itakuwa imekamilika Kama Reli ya Kati to Rwanda,Reli ya tanga mpaka bahari ya Atlantic,bandari ya bagamoyo,na miradi mingine ambayo italeta Multiplier effect ktk uchumi!unaweza kuangalia Miradi mikubwa Tanzania utapata data!
So finally kozi za science muda wote ajira zipo regardless ya kipato chake na nafasi zake!