Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Umeona hapo.

Na ndio maana siku zote ukichunguza mtu aliesoma(wengi wao) haamini kama kuna maisha bila ya kazi(KUJIAJIRI).

Kwa kweli wanakuwa waoga sana, mtu yuko tayari aendelee kupata mshahara mdogo lakini aendelee kufanya kazi

Ndio maana nkamwambia kwasababu yeye mawazo yake elimu ni ajira..ushaur wake sio mbaya ni nzuri...ila kiuhalisia elimu sio ajira tu..kuna mengi zaidi ya hayo kama
Kupenda kitu kutoka moyoni.
Pia wengine elimu kwao ni kuongeza maarifa ajira ni matokeo tu...
 
Kujiajiri ni kote kote mkuu..au unazungumkia ajira gani...kama post yako imelenga kutarget soko la ajira la bongo sawa..ila kwa mimi naamini elimu sio tu kupata ajira bali ni njia ya kuongeza utambuzi na pia education inaweza kuwa leisure kama utaspecialize kwenye kitu ambacho unapenda
namaanisha mtu wa sayansi anakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kuajiriwa au kujiajiri. tofauti na wa art ambaye ajira kwake ni ngumu. mimi niliyesoma sayansi nikitaka kujiajiri nasave hela ya mshahara au nakopa kwasababu ninaajira. wa art aasiye na ajira anaanzaje?
 
Nakumbuka na PCB yangu niliyosoma mwisho wa siku nikaangukia kwenye social science kiasi kwamba wakati nakwenda nikajishangaa hivi nitakwenda sambamba na watu waliosoma arts. Kinachokosekana ni miongozo ya awali toka kwa waliotutangulia na ndio maana unakuta mtu anasoma masomo ya arts anaipuuzia hisabati mwisho wa siku akiingia chuo anakutana na viji-equation vya form 2 na 3 anabaki anatoa macho na kama si kupiga desa mtu mzima anaumbuka. All in all ukisoma science unakuwa na wigo mpana wa kuchagua kozi mbalimbali yaani za science na bado unaingia na kwa watu wa arts ila kama haipandi ni vizuri kumshauri akomae na arts maana kuna dogo mie alikuwa form 3 alafu kakomaa na science hajui hata periodic table na fundamental quantities of physics nilichofanya nimshauri tu kusoma arts maana akipata nyingi ni 25% lakini anavyojifanya mjuaji
 
Waliosoma masomo ya arts wanapiga pesa kwa kalamu kuliko wanasayansi.

Wachumi, Wanasheria nk
 
Janga la ajira halitaisha nchi hii kwa fikra hizi. Mie sijasoma arts lakini nimejiajiri nje kabisa ya taaluma. Na ninajuta sana kuikosa taaluma ya uhasibu na uchumi.
nashindwa kuelewa kwanini mmegeuza huu uzi kuwa kujiajiri vs kuajiriwa?. nafikiri ni kusudi tu maana wote tunajua kujiajiri ni bora.
 
namaanisha mtu wa sayansi anakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kuajiriwa au kujiajiri. tofauti na wa art ambaye ajira kwake ni ngumu. mimi niliyesoma sayansi nikitaka kujiajiri nasave hela ya mshahara au nakopa kwasababu ninaajira. wa art aasiye na ajira anaanzaje?

Kila mtu anauwanja mpana ni kutambua fursa na kuzifanyia kazi tu..unaweza kusoma arts na mwingine akasoma sayansi ila bado wewe wa arts akawa mbali... me naona mtu asisome kwa kutarget soko la ajira ila kaa darasan uelewa na usisome fani usiyopenda..maana hata tunakoenda hizo tempo za watu wa sayansi zitajaa tu
 
dunia ya sasa kuleave things to chances ni hatari sana. inatakiwa kucalculate your chances.
 
Life depends on how u exercise your mind,, kama kupata ajira labda lakini kama ni kuhusu maisha mazuri yeyote yule hata asiyesoma anaweza akawa nayo,,muhimu ni kuwa na plan,, kupigana bila kuchoka muhimu kujua tu unapigania nin,,
 
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.

Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.

Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde

So sadly and disapointing!!!!!
Inasikitisha kuona bado mtu msomi akiwa hajajikomboa bado kifkra licha ya kuonekana msomi ndani ya jamii. Haya mawazo yalipaswa yatolewe na mtu ambaye hana uelewe jui ya taaluma na umuhimu wa mtu kuchagua taaluma anayoiweza na si kufuata soko la ajira ambalo sasa hatukawik kusikia ghorofa limeporomoka au daktari kaacha mkasi tumbonj kwa mgonjwa nadhani ni kutokana na ushauri mbovu wa mawazo mfu km haya.

Nadhani ni bora kumwacha mtoto afanye kile awezacho kuliko kumlazimisha kuchukua fani asoipenda ambapo watangizi wake tayari mshaonesha ni kwa namna gani mmeshindwa kuonesha ufanisi kwa kazi mnaojivunia kupata ajira kirahisi ingali mwanyoshewa vidole.
 
ni kweli but haiwezekani watu wote wasome masomo ya sayansi kwan hatA huko kwakina newton na galileo watu wa art na biashara wapo na dunia ya sasa watu wanategemeana katka mambo yao
 
bado tupo mbali kimawazo,bila kusema mengi sidhani kama nitampeleka mwanangu shuleni akasome ili tu apate kazi,elimu ni zana ya ukuaji wa kifikra,kama bado umesoma halafu uchambuzi wako wa mambo ni sawa na mtu asiyesoma tutasema wewe hujaelimika,hata kama utakuwa ofisi gani..
narudia kusema watanzania tuanze kubadilika japo kidogo kidogo,hadi lini tutakaa kufikiri kwenda shule ni kupata ajira? wengine hawajaenda shule na wajomba zao wamewapa viti maofisini, elimu ni nyenzo ya kutukomboa kiakili, ajira inakuja baadae.
sitozungumzia sana kuhusu uwanja mpana wa wanasayansi au waliosoma arts kwa sababu binafsi siamini katika misingi hiyo ila tu nilisoma taarifa moja jana na ngoja nipaste hapa.

3. Most doctors can’t correctly diagnose the ailments that kill the most Tanzanians
Lest you think Tanzania’s challenges with basic services were limited to education, here’s an eye-opening statistic on health services, from the same World Bank study cited above. Researchers presented clinicians with hypothetical patients, suffering from a variety of symptoms that commonly afflict Tanzanians, and tested whether they could offer a correct diagnosis.
tmc3-300x65.png
Share of Clinicians Who Reached Correct Diagnosis. Data: Service Delivery Indicators. Figure: World Bank “SDI Tanzania Technical Report”
Shockingly, only 27 percent of doctors could correctly diagnosis malaria with anemia, and 29 percent could correctly diagnose diarrhea with severe dehydration — two leading causes of death for Tanzanians.

Hizi ndio faida za kusoma kupata kazi,kukariri maandishi ya vitabu katika misingi hiyo,tubadilike jamani.

.

na umaskini huu unataka niende shule nikafanye nini kama c kutegemea kuajiriwa kwanza,hayo mengine yatafuata baadae but kuajiriwa ndio lengo la kila mwanafunzi,utajiajiri vp wakati ww ni maskini hela ya ada tu mpaka ulipiwe na bodi
 
humu jf wengine bado watoto wadogo sn na kuwatambua tazama mawazo yao, km huyu mtoa mada kajifungia kwenye chumba kidogo cha uelewa halafu analeta thread jf.

Sikiliza dogo hapa kuna magreat thinker siku nyingine mada km hizi jadilianeni mabwenini na form two wenzio!!
Hovyoo!
 
bado tupo mbali kimawazo,bila kusema mengi sidhani kama nitampeleka mwanangu shuleni akasome ili tu apate kazi,elimu ni zana ya ukuaji wa kifikra,kama bado umesoma halafu uchambuzi wako wa mambo ni sawa na mtu asiyesoma tutasema wewe hujaelimika,hata kama utakuwa ofisi gani..
narudia kusema watanzania tuanze kubadilika japo kidogo kidogo,hadi lini tutakaa kufikiri kwenda shule ni kupata ajira? wengine hawajaenda shule na wajomba zao wamewapa viti maofisini, elimu ni nyenzo ya kutukomboa kiakili, ajira inakuja baadae.
sitozungumzia sana kuhusu uwanja mpana wa wanasayansi au waliosoma arts kwa sababu binafsi siamini katika misingi hiyo ila tu nilisoma taarifa moja jana na ngoja nipaste hapa.

3. Most doctors can’t correctly diagnose the ailments that kill the most Tanzanians
Lest you think Tanzania’s challenges with basic services were limited to education, here’s an eye-opening statistic on health services, from the same World Bank study cited above. Researchers presented clinicians with hypothetical patients, suffering from a variety of symptoms that commonly afflict Tanzanians, and tested whether they could offer a correct diagnosis.
tmc3-300x65.png
Share of Clinicians Who Reached Correct Diagnosis. Data: Service Delivery Indicators. Figure: World Bank “SDI Tanzania Technical Report”
Shockingly, only 27 percent of doctors could correctly diagnosis malaria with anemia, and 29 percent could correctly diagnose diarrhea with severe dehydration — two leading causes of death for Tanzanians.

Hizi ndio faida za kusoma kupata kazi,kukariri maandishi ya vitabu katika misingi hiyo,tubadilike jamani.

.

Elimu ya bongo haihitaji hayo usemayo mwenye elimu bongo ni yule alie ajiriwa ingekuwa marekani maneno ako yangekuwa sahihi
 
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.

Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.

Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde

Sababu kubwa kwa nini Tanzania hatuna wataalam wazuri kwenye fields za sayansi ni watu kusoma masomo ambayo hawayawezi, hivi doctor aliepata division 3 au 4 anatibu nini?hawa ndio hata hawawezi kudiagnose homa. Watu wanasoma engineering wakiwa na 3 na 4 ambazo ni kama sifuri tu. Mtu soma masomo unayoweza six unapiga 1 tena nzuri na chuo unafanya vizuri likewise kazini.
 
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.

Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.

Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde

Iv kuna umuhimu wa mtt kwenda o level...a level then chuo kikuuu??? Maana mm Sio siri nmesoma arts.....nilivomaliza olevel nkaenda arts hgk ila nilisoma Huko n tofaut kabisa na nilivhosoma chuo....Je kuna hasara gan kumtoa mtt olevel kisha kumpeleka certificate....diploma in the same fld then chuo????
 
Unafikil ukisoma ndo utapata ajira (watanzania tuachane na ajira z serikalini tjaribu kujiajiri wenye kweny fani zetu, ndo tutasonga mbele kimaendeleo.)
 
Iv kuna umuhimu wa mtt kwenda o level...a level then chuo kikuuu??? Maana mm Sio siri nmesoma arts.....nilivomaliza olevel nkaenda arts hgk ila nilisoma Huko n tofaut kabisa na nilivhosoma chuo....Je kuna hasara gan kumtoa mtt olevel kisha kumpeleka certificate....diploma in the same fld then chuo????
hii njia ni nzuri, tena kama kafaulu vizuri anaweza anzia diploma. kuna jamaa namfahamu alipomaliza form 4 alienda diploma ya mechanic. kafanya kazi kisha kajiendeleza na sasa ni injinia tanroads.
 
Back
Top Bottom