Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.

Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.

Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde

unaharibu future za watoto wako
 
Unasoma science ili uajiriwe....ua after emplotment and not science for inovations...wanascience wapo viwandani wanavumbua bidhaa mpyaaa
 
Mkuu
Sasa wote wakisoma masomo ya science halafu wakaacha kusoma masomo ya arts wanasiasa na wasanii watatoka wapi...???
Wenye kusoma masomo ya sayansi wasome na wenye kusma masomo ya sanaa wasome waache wajichagulie wenyewe wasilazimishwe.
 
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food science, veterinary medicine, udaktari, uclinical officer, uafisa kilimo, uafisa wanyama, unesi, maabara, ualimu, uinjinia, uhasibu, clearing and forwading nk.

Wale waliopata ziro walienda vyuo ka matokeo yao ya form 4 nawengine walipata tempo za kufundisha. Hawakuwepo waliokaa kihasarahasara. Ninachotaka kusema ni kuwa sayansi ina uwanja mpana wa mambo ya kusomea. Pia sayansi inakupa nafasi ya kusomea kozi zenye soko tofauti na arts.

Nyakati za kusomesha watoto ilimradi umesomesha zimepitwa na wakati. Inatakiwa kusomesha kwakuangalia future yake. Ukisikia graduate hawana ajira utashangaa 90% ni waliosoma arts. Watoto wanatabia ya kufuata vitu vinavyoonekana ni rahisi. Ni jukumu lako mzazi kumuonyesha njia sahihi na kumtia moyo. Sayansi haina ugumu kwamba mtu mwenye bidii imshinde

For scientist u sure have a very shallow mind
 
Kusoma Science au kusoma Arts ndio YALE YALE kikubwa kumshukuru mungu

Mie shuhuda.. Kuna raia wamesoma science leo hii wapo Class moja Chuoni na waliosoma Arts.

Acha kila mtu aende anapopaweza na panapo mfaa..

Elimu yetu imekaa kama DUARA.. Linapinduka pande zote kwa usawa bila ya sisi kujua muhim kufatilia mambo kwa jicho la tatu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebeca 83 unasemaje kuhusu hii ishu? habari yako lakini?

Mkuu mimi niliishia form five (Advanced Subsidiary)..nilichukua Chemistry na Biology,...nilifeli vibaya,ikaniondolea confidence ya kuendelea kusoma,lol..nilishawahi kuleta hapa wazazi wasiishi ndoto za watoto wao,yaani mzazi akiona mtoto wa Fulani ni daktari na yeye anataka wake awe daktarin...udaktari umekua kama 'pride ' Fulani hivi sio kwa mzazi tu hata kwa mwanafunzi mwenyewe,yaani kuvaa koti jeupe na tethoscope(sijui kama nimepatia),ni kama ufahari Fulani,yaani kuna watu(Madaktari) ukiwaona wako soo stressed mpaka wamezeeka mapemalol,i think fanya kitu unachopenda,labda tuisahauri serikali yetu iwe na watu/Career advisor anayepita mashuleni huku kuwa advice watu waexpect nini wanapochagua career zao,na pia nimeona mahali universities wanaalika watoto wanaotaka kusoma kozi Fulani wanawafanyia presentation ya hio course na kuwaonjesha course inahusu nini,baadae mtoto ana apply anachopenda...
 
hahahaaaa. ila umeongea vema sana mkuu. wazazi wasiishi ndoto za watoto wao ili wapate sifa wakivaa stethoscope, LOL. Ni ile tu dunia inahitaji wanasayansi zaidi. so tujitahidi na si kulazimisha waende huko. Nikupe mfano, wanasema kwa wahamiaji wanaoenda Marekani waafrika wanaongoza kwa kuwa na elimu kubwa. wamewazidi wahamiaji kutoka Asia na ulaya. Ila wahamiaji kutoka ulaya na Asia wana maisha bora zaidi, kwaninini? wahamiaji kutoka Asia na Ulaya wanaenda na degree za computer, na sayansi zingine wakati Wanigeria wanaenda na sociology na HR. Hatupaswi kuwaongoza watoto kulingana na dunia inataka?
 
Naelewa dunia inahitaji wana science mkuu ila umeshawahi kuwaza kila mtu akiwa mwana science dunia itakuwaje..?? lol..Maroboti kila kona, lol.lazima vitu view balanced kidogo,..anyway mie nadhani kwa vile Elimu yetu wa Africa viwango vyake ni duni,tunashindwa na wahindi,unaweza kuwa wa kwanza darasani kumbe unao waongoza ni viazi,lol..wa Asia wana advantages,kwa vile elimu yao iko standards za juu,wakifika nchi kama Marekani ama UK wanakua na uwezo mkubwa wa ku explore opportunities zilizopo na kuzifanyia kazi..ila sidhani kama ni ukweli wanaotoka Asia wamesoma science,interesting,ningependa kujua kama science ina correlate na success in life especially kwa nchi Kama USA where kuna opportunities for everyone...
 
don't come to build the house as long as you need to build and money is not a problem...... try to get out and see the requirements that may be needed to undetake such a building. Passion is matter than obligation from outside.

it's better to pursue the feelings, capacity and ability of a child, rather than forcing a child for the the sake of employment.

Brother.... you are lost, time is changing try to treat your child for the sake of self employment contrary to be employed.

To be honest both disciplines are better unless you are poor thinker.
We need to be educated for the sake of mastering the nature, and not for the purpose of EMPLOYMENT.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumbuka huu uzi wa miaka sita iliyopita.
 
Back
Top Bottom