Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

Nakubaliana na wewe kabisa.

Hata mimi watoto wangu wote lazima wasome masomo ya sayansi tena nataka wawe madaktari. Mungu atawasaidia. however, ukiangalia mabilionea wote tz hakuna aliyesoma masomo ya sayansi.

pia ugonjwa mkubwa wa watz ni rushwa, kati ya wale waliokula ESCROW ukianza na mzee wa tumbili hadi woote, hakuna aliyesoma sayansi hata mmoja.

hivyo hata arts ina mazuri yake pamoja na kwamba sayansi ni bora zaidi kwa kupata hela ya halali, art ni kupata hela ya wizi. mimi ni lawyer najua ninachoongea.
Huwezi kutaka wewe mzee. Mungu ndio anapanga. Baba yangu alitaka niwe mtaalamu wa maabara kama yeye. Mwisho wa siku nimekuwa mhasibu na nilisoma CBG
 
Back
Top Bottom