financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,092
- 40,608
Nimekaa mwenyewe kwa kochi, kimekuja kile cha yusuphuuuuuu nikakiachia kama kilivyoo aah farting is real nice😂😂Kuna ndugu yangu hawezi bana ushuzi hata awe wapi yeye kujamba ni ruksa kabisa.
Husema akibana tumbo hua linamsumbua saana akibana hata kidogo tu, ile gesi inamsumbua sana tumbo.
Hua namtamania ila ndo vile mimi ni getlemen siwezi jamba hovyo.
Ila ukikipatia aisee kijambo ni kitamu.