Jirani yetu amewekewa limbwata

Jirani yetu amewekewa limbwata

Huu ndio umbea huu....

Una uthibitisho gani kuwa ni limbwata??

Majirani msipende kuharibu nyumba za wenzenu
 
Limbwata ni kitu gani?......we una maisha yako wao wanayao usipende kuvuruga maisha ya wenzako kwa hisia zako
 
Majirani ndo wanaovunjaga ndoa za watu, we uko kwako mambo ya limbwata la jirani linakufikaje??? Sasa kama hujipendi nenda kamuambie huyo kaka kawekewa limbwata uone moto wake
 
Nini kimekupa uhakika kawekewa limbwata,?ukiniconvisi hapa walau naweza shauri
 
Ili kuprove kama kawekewa limbwata nenda kaombe game kwamkewe harafu umgegede mbele yake tuone atafanyaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom