Jirani yangu simwelewi

Ni bora kuhamia kwako tu. Mi mwenyewe nitahamia kwangu vyumba viwili tu. Nitaanza kujenga nyumba ninayoitaka nikiwa kwangu takujenga nikiwa kwangu tayari
Nyumba za kupanga zina kero.
Nikirudi ni kwangu tu, labda nisikie jirani anaumwa
 
Hayo ni ya kawaida kabisa na yapo sehemu nyingi, kila mtu amekulia kwenye mazingira tofauti na ndio maana ya jamii sasa, unaweza kuhama bado ukakutana na atakae kukera zaidi ya huyo. Kama utaamua kuhama basi tafuta self kabisa
 
usilalamike saana watu kama hao ni safi saana kuishi nao fanya vitu vya maana azidi kukufuata then unamwaga ki stail
 
yani kwa hako kamoyo kadogo hvo bs utakimbia nyingi sana za kupanga mkuu, mbona swala dgo sana hilo.
 
ushasema kwao shinyanga! kule wasukuma hawajivuni ni wakarimu na ni ndugu kwa kila aliekaribu nao, lkn ushamba ndo unawatesa! mzoee utafaidika.
 
Mzoee na ww u adjust ndo mambo ya nyumba za kupanga....unaeza kukwepa hili ukahamia sehemu mbaya zaidi.
 
ni kweli watu wa uswazi wanaishi maisha ya amani sana kuliko sie tunajifungia katika mageti
 
Asante The Boss...

Paulo Sergio De Souz hapa kachemsha bana.... itabidi afuate ushauri wa Evelyn Salt tu.... amwite mdada amwambiame kuna shati jingine hakuna namna

In short mwenyewe alishindwa kutumia fursa
 
Baadhi ya wadada wana tabia za kiswazi,, maybe alivyoona umemsaidia akaona ts the right time ajisogeze sasa,, probably aliitamani sana hyo nafas.. Ndo shida ukimsaidia mtu kdogo atataka ajue hata pichu gani umevaa,,
 
Stay away from her please before you will find her with your BF on top of your bed.... I can imagine the danger


 
wanawake wengine nux
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…