Sasa mtu alilala ulitaka aje na amevaa gauni la kitenge na lemba? Au ulitaka awe amevaa nguo za ofisini? Dada wa watu amekuletea funguo kwa amani tu wewe umeingizia hisia nyingine.
Acha kutoa siri zakonunua condom kwanza , halafu usimgongee kwake uwe unamgongea kwako .... ila uzinzi ni dhambi
Hakuna aliewah kuelewa akakubali kwamba anachokifanya ni sabab ya pombe mostly hujifanya wako ok na confident! Kwanza acha PombeHapana mimi kupombeka haina maana sina akili zipo nyingi sana, huwa sisleck nikipombeka