Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

nunua condom kwanza , halafu usimgongee kwake uwe unamgongea kwako .... ila uzinzi ni dhambi
 
Hapo uliposema Ushamba ungepigia mstari ndo penyewe haswa. mwenzio alishaingia kulala ulitaka alale na jinzi?

mkuu tulia tu chupi ile siyo yakulalia wewe nyamaza tu humjui jiran plz
 
si kweli madam chipi zingine vile imemkaa mtu ni full kulipuwa moyo na kuamsha hisia hatar hatar
usijali wewe anagalia kama anafaa kwa mboga kula ila kuwa makini.. na kama una demu wako anakuja hapo haloo kama yupo kwa future achana na hii mboga pori kuna sumu nyingi
 
Jamaa nimeanza pombe pengine kabla hujazaliwa, kama nimeweza drive barabara nzima sijaruka mashimo nashindwaje tambua kilicho mbele yangu ? hebu fikiria upya
Kwani umeona nini cha ajabu??
 
usijali wewe anagalia kama anafaa kwa mboga kula ila kuwa makini.. na kama una demu wako anakuja hapo haloo kama yupo kwa future achana na hii mboga pori kuna sumu nyingi

Mkuu jirana amepania kuudhulum huu moyo usio na makosa mpaka najishangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom