Jirani yangu simuelewi

Jirani yangu simuelewi

Nimekumbuka ule wimbo: MOYO KAZI YAKE NI KUSUKUMA DAMU SI VINGINE............................. MOYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Hapana sio kwa uoga huo halafu unakuja kuuliza ili watu wakushauri cha kwenda kufanya kuna siku tutaulizwa ninywe maji au nisinywe

mjukum ivi uwezo wako wa kufikiri ukoje ?
 
Kaa chini jitathimi,fikiria kwa makini. Why mpaka umri huo unakaa mwenyewe?,Ukishalala naye maisha gani yanafata wewe na yeye na mengine....Halafu ufanye maamuzi wewe mwenyewe.
 
Kaa chini jitathimi,fikiria kwa makini. Why mpaka umri huo unakaa mwenyewe?,Ukishalala naye maisha gani yanafata wewe na yeye na mengine....Halafu ufanye maamuzi wewe mwenyewe.

umesomeka mkuu
 
haya fikiria fizuri
Hapa tayari labda ije mada tofauti

Ila kuwa mkweli kama in sawa kuuliza swali kama hilo kwa mwanaume ambaye anajielewa

Uko wapi yaani mkoa gani unatoka

Kama inawezekana
 
Hapa tayari labda ije mada tofauti

Ila kuwa mkweli kama in sawa kuuliza swali kama hilo kwa mwanaume ambaye anajielewa

Uko wapi yaani mkoa gani unatoka

Kama inawezekana

ulipo lakin mjukuum kwani nilazima ukanionyesha uwezo wako mdogo wakupembua mambo ? mbona unajianika ivo plz
 
Mkuu wewe humuelewi,ila jirani yako kakuelewa vizuri tuuuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom